Sajuki anaendelea vema mda wowote atarejea nyumbani

Status
Not open for further replies.
Yule jamaa ni mpumbavu sana. Sijui linajisikiaje huko lilipo. Nafsi inakusuta wewe mjinga na mpuuzi mkubwa, hayawani tena malaya wa habari, taka taka we mwanaume au mwanamke usiyeoga. Kenge mkubwa, kimbulu mwenye njaa, paka shume ambaye hukamati panya kazi yako ni kuiba kuku za watu. Mwanakharamu na khanithi mkubwa kabisa, shetani wa mguu mmoja we. Ukome na ukomae akili yako ya matope siku nyingine usilete upuuzi wako hapa. Nyani kasoro mkia we DIALLO. Nyoko zako we, mshenzi mkubwa mbwa asiye fugika. Iwe mwanzo na mwisho kuwazushia kifo wenzako. Kufa wewe kama unataka. ****** wee.
lahaula jumakidogo, yote yake haya, au mengine umemuwekea kiporo ya kesho,? wallah sijawahi sikia maneno yote haya kwa wakati mmoja! lol.
 
Moderator wa JF Photos na Moderator ambaye kwenye page yake aliachia habari hiyo ikapostiwa na Mods wote wa JF mna matatizo na utendaji wenu wa kazi unatia shaka sana na sijui imekuwaje mkapewa u moderator ama labda nyie ndio mmeshikampini ila mnastahili kutumia busara na kukaa pembeni mmeshindwa kazi,Jipimeni tu kisha mtumie busara.
 
Sekion Devidi kiongozi wa kundi la Orijino Komedi anasema:

Nimezungumza na SAJUKI na mkewe Wastara kwa dakika 15;Dakika moja iliyopita! Afya yake inaimarika na anaweza rejea Tanzania mapema!

MASANJA MKANDAMIZAJI nae anasema:

Ndugu yetu Sajuki anaendelea vizuri! Muda si mrefu uliopita mkewe amezungumza kwa njia ya simu na mwakilishi wa kundi la Orijino Komedi!

Hivyo UZUSHI uliotapakaa hapa na kwingine hasa ukianzia INDIA ktk mtandao wa Mehraj News na nchini Kenya ktk mtandao wa Kenya Daily News, kuwa msaniii wa maigizo wa Tanzania ndugu yetu SAJUKI ametutoka sio kweli!

Good news kama anaendelea vema.
Mungu amsaidie apone, aendeleze fani
 
Hivi hawa seki na masanja kwa nini hawajatuletea story kuhusu vengu??? Asante kwa taarifa ya sajuki lakini na ya vengu ni muhimu
 



Hivi hawa seki na masanja kwa nini hawajatuletea story kuhusu vengu??? Asante kwa taarifa ya sajuki lakini na ya vengu ni muhimu


 
namuembea sana sajuki, mola amuenue na kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida, inshallah sajuki utapita kwenye mtihani wako bora uwe na imani tu. usivunjike moyo kwani mwenyezimngu amekukumbuka. kuwa na subra na mola atakuondolea matatizo yako. amin
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom