Kila mwanamke anapenda anachopenda kwa mwanaume, mwingine anapendea pesa, mwingine muonekano (unadhifu, mambo ya body, sura) na sifa nyinginezo..
Kama kakupenda kwa kigezo cha misuli misuli nini, ama muonekano wako, hata muda ule ukifika hisia zake zinazama kwenye muonekano wako na ile misuli, hivyo kupelekea akili + mwili wake kurelax kuruhusu hisia zitawale na matokeo yake yataonekana.
Kama kigezo ni pesa, hisia zake zitaangukia kwenye ile migao yako ya pesa kwake, hivyo akilini mwake atajenga taswira ya kujaliwa (Care), kwa wanaoamini kujaliwa ni kupewa PESA.. Hivyo atakuvutia hisia kama mtu muhimu sana kwake. Vile vile matokeo yake yataonekana.