Saikolojia: Niulize chochote kuhusu wanawake

Saikolojia: Niulize chochote kuhusu wanawake

Mungu atusaidie sana kwakweli
FB_IMG_1525783872107.jpg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Haya maarifa ya namna hii kuyatoa yanahitaji umakini la si hivyo utasababisha machafuko tu unapo expose vitu vya namna hii.....inanipa mashaka kidogo mleta uzi psy as common sense au psy as professional?
 
ni kweli kwamba ukiwa na ukaribu na msichana, mfano ukaribu wa kikazi labda mnafanya kazi ofisi moja au mnasoma wote darasa moja, huwa ni rahisi msichana yule kupata hisia za kukupenda automatically wewe mwanaume hata kama hakujui vizuri undani wako na wewe mwenyewe huna hisia nae zozote zaidi ya ushirikiano tu ktk baadhi ya mambo kama ya kikazi? yaani ni kweli ukaribu wa msichana unapitilizaga na hadi kumjengea hisia zingine juu ya mwanaume?
Ni kweli. Japo sio ukaribu wote humpelekea lady kufall in love. (Sorry mimi sio Mr Bean)
 
zipo sababu nyingi sana, ila sababu kubwa na common sana ni tabia ya wanawake kujiona wapo bora zaidi ya wanawake wengine. najua hapa itakua ngumu kwa wewe ku connect dots, ila niamini, pale unapoanza tu kuhisi mwanamke mwenzako ni bora (superior) kuliko wewe basi kuna ka wivu flani kanakuja ambako hako ka wivu ndo kana sababisha musipendane.

na hii sio kwa mawifi tu, hata kwa marafiki, mashosti nk.
kuna wengine machoni wanachekeana, ila moyoni wanachomana visu.
Ukweli 100%
 
kabisaa, wanawake kila dk mnakuwa na akili mpya hahaha

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mim kina vitu huwa nafanya Mr anafooka alafu badae nakaa najitafakari hivi nilifanya nn najicheka mwenyew,,kina ile ya kumisi kugombana na mtu basi utamchokonoa mwanaume mradi tu mgombane hapo roho kwaatu,,yani mwanamke wacha kabisaa
 
muwe mnathurumia ss....muangalie na muda wa kuanzisha hizo fujo, tunachoka aisee!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom