Dah aisee mbona huyo kama mpenzi wangu kabisa. Ananiboaga kinoma yani. Anakupa uhuru uchague kisha utachochagua ataanza tena kulalamika kwamba ni kibaya. Mi huwa nachoka man naamuaga kumpa uhuru achague yeye ili akianza kulalamika kiduanzi nimuwashe vibao.Jana nimezunguka mitaa kibao natafta nyumba mpya tuhamie na hiki ndicho kilichojiri.
The 1st house akaikataa ambayo ndio ilikuwa most preffered by me kisa tu haina perving blocks nje, 2nd house akaikataa, third akaipenda, bahati mbaya ya 3 aliotaka ikawa ishachukuliwa ila location ya nyumba ni nzuri pembeni kulikuwa na apartment nyingine nkamwambia tuichukue hio akagoma tena. Hivyo tukaendelea zunguka, 4th akaikataa pia ila 5th akaipenda sana shida haikuwa na nafasi ya parking akaikataa.
Katika mzunguko wote huo mwisho wa siku akaanza tena kunipa choice nchague mie ninataka ya wapi. Nikamwambia the 1st house. Tukaanza lumbana tena nkamwambia haya basi tuingie nyumba ilioko on the opposite na ya 3 akagoma kata kata ikabidi kwa upole nimwambie mama ushanichosha sasa hueleweki aisee. Unaniyumbisha mno so will go with the first house wether you like it or not.
Akakubali tu kiroho safi,,ila ukichek mda tuliopoteza huo tungekuwa tumesettle deal mapema mno! Wanawake huwa hawajielewi kabisa.