Fulling Porce
Member
- Mar 26, 2018
- 39
- 36
Get unvailed bana....Nimefichwaa hehehe
Get unvailed bana....Nimefichwaa hehehe
Sababu kuu ni kuwa iddle kunako pelekea upweke (loneliness).Mleta Uzi unisaidie kwenye hili tafadhali nini huwa kinafanya wanawake wengi kumis hali ya ugomvi na kuwa wachokozi kwa wenza wao ilimradi tu kaugomvi katokee
Dah aisee yani, hamna namna! Maamuzi ya kiume ni kusimamia kile unachoona sahihi zaidi.Muda mwingine tunahitaji kufanyiwa maamuzi hatujuagi kuamua on the spot
Aisee ndio maana watu hujifanyia yao kisha lawama mbele kwa mbele!hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana chief....ndio maana wakati mwingine ni bora kuamua tu alafu unakuja kumpa taarifa, wanachosha sana.
Ukitambua kwanini Eva alidanganywa kirahisi kula epo bustani ya Eden ndipo utajua kwanini ni rahisi sana kwa mwanamke kudanganywa kupitia vyakula.Why wanawake wako weak Sana kwny vyakula? Ilinipa shda kunipa nafas ya kuongea nae lkn nkaanza kumpelekea vyakula ,vinywaj na n.k had sasa anakja room mwnyewe hawa mabinti
duuuhh " hivi watu wenye uvumilivu huo kama nyie bado mpo ..ktika sayari hii""?Mkuu me kunademu angu anakataa kunipa gemu anasema mpaka ndoa saiv ni zaod ya miez mitatu yan hataki kabsaaa
hahahaaa hapo sasa ...but jibu ni rahisi tu "" kwamchepuko weweza kuwa unafuata ngono na kwa mkeo unafuata upendo "Huwa najiuliza why wanawake wanaweza kuolewa na mwanau.e mmoja na maisha yakaenda, ila why wanaume hawawezi kuoa mwanamke mmoja na maisha yaende smooth, ila kwa mchepuko mnaweza kusubiriana akichomoa huyu na wewe unaingiza
hatari sana Hawa watu[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa chief..
unaweza kumwambia tule nn leo....atakwambia chagua ww, ss kila utakachochagua atakwambia hapana hahahaa hapo ndio wanaume tunabaki tunajisemea moyoni tu hahahaha
kuna demu mmoja alishawahi kunikorofisha ..basii tukacharuana katika text ile mbaya...but keshi yake ...akaniambia nili miss tu kugombana na mtu "" geeezMim kina vitu huwa nafanya Mr anafooka alafu badae nakaa najitafakari hivi nilifanya nn najicheka mwenyew,,kina ile ya kumisi kugombana na mtu basi utamchokonoa mwanaume mradi tu mgombane hapo roho kwaatu,,yani mwanamke wacha kabisaa
ha haaa haaKujua jinsi ya kuishi nao ndio kuwaelewa kwenyewe, ama unataka uwaelewe vipi Chief? Unataka remote control kabisa, Boss?
duuuhUlikua haujui dia?usiombe unanihii na mwanaume kapuku yaani utashangaa nusu saa yapita umetoa macho kama bundi[emoji23] [emoji23]
Kabisa maana ukingoja tuamue sisi utachelewaDah aisee yani, hamna namna! Maamuzi ya kiume ni kusimamia kile unachoona sahihi zaidi.
ngoja nimsaidie kujibu hili.......hii ni laana kama laama tulioachiwa na mtangulizi wetu .... isaya 50;11Kwanini mawifi automatic huwa hatupendani?
mtafutano si wa nchi hii.😀😀😀😀😀😀Ninapomtongoza mwanamke; huwa najibiwa:
-Siko tayari kuolewa
-Mapenzi ya sasa pasua kichwa
-Wanaume wa sasa hawaeleweki
-Nakula ujana au bado sana kuwa na mpenzi.
Lakini ikitokea ukapiga shows kwake/kwa wasemao maneno hayo; mtafutano si wa nchi hii.
Yaani utafikiri wasiojulikana wanavyowatafuta wapinzani au members wa JF.
Husababishwa na nini hiyo?
akimaliza Idea utaipata tu hahahaMungu atusaidie sana kwakweli [emoji17][emoji17][emoji17]View attachment 776087
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
maana kwenye no au Yes huwa tunaishia kusema "sijui wewe unaonaje" hapo sasa mfanya research hitimisho atalipataje hahaha ni hatariUnaweza kuta kwe hyo research kadanganywa pia hahaha wanawake tuna balaa,[emoji23] [emoji23]
kuna mmoja nili mchana kuwa K yako ime change sana sio kama nilivyo kuacha pamoja na titi sime anza kuwa ndala akaanza kulia akasema ni sidiria nikamuuliza na chini akasema hajui. huku amezima simu niliposhika simu yake kuiwasha mamaaa.Kwa nn mwanamke ukimwambia ukweli , kwamba k inanuka au umeanza kuchanganya shahawa, anakasirika!
ukiwa understand guy unaonekana mjinga....ukiwa mkorofi utaonekana mnyanyasaji hahaha kazi kweli kweli.View attachment 776114