Wosia wa bibi kuhusu wanawake

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
857
1,262
Wakuu nawasalim za muda huu, lakin pia pole kwa wale wenye changamoto znazowakabili.

Niend kweny mada kuna bibi mmoja hivi mwaka juzi alikua ananielez jinsi ya kuishi na mwanamke pamoj na changamoto zake aliniambia vingi sana ila ntaeleza kidogo kwa leo.

Kwanza kabisa alianza kwenye utawala wa pale ndani kwa mume na make na njia gani inatakiwa itumike ili ndoa iwe yenye aman na utulivu.

Akasema cha kwanza kabisa ni maamuzi kwa upande wa mwanaume akasema kwamba ukitaka mwanamke akuheshimu ni lazima pale ndani uwe na misimamo mikali ambayo hawezi kuipinga akaenda mbali zaidi akasema kwamba kama mke wako atakua mbishi nguvu pia itumike maan wanawake ni kama ng'ombe kuwa kuna muda inabidi fimbo pia ifanye kazi.

Akasema mwanamke ukitegemea kwamba atakuheshim kwa kumwambia maneno peke yake ni kujidanganya maana wanatabia ya kujaribu mambo kwa makusd ili ajue misimamo yako na udhaifu pia akifanikiwa katika hilo umekwisha atakuendesha kama tela ya punda.

Akaniambia kua usione sisi zamani tulikua wapole ni tulikua tunaogopa vipigo toka kwa waume zetu. akasema kwamba maisha ya ndoa ni mfano vita kwa maana mke na mume sasa hapa inabidi mume awe mshindi ndo familia itaenda katika maadili mema n njia sahihi kabisa lakini akishinda mke hapo tayari familia imepotea, maana maadili hayatakuepo wala heshima, akanipa mfano wa familia yenye baba na ile ambayo ina mama peke yake hapa nikagundua utofauti wake na kumpa bibi kongole zake.

Akaendelea kusema kwamba kwasasa ndoa nyingi sana hazina heshima wala nidhamu zimekua kama kambi ya kambale yaani wote ndevu na hakuna anaekubali kua chini ya mwenzake hata sauti pale ndani mume akifoka mke anafoka zaidi yaani vurugu mechi, akasema kwamba sisi zamani ikifika saa moja haupo nyumbani bila sababu maalum ujipange cha kueleza akasema naona kwasasa unakuta mke wa mtu mpaka saa tatu usiku yupo bar tu anakula vyombo na hawazi lolote lile na haoni kama anakosea kufanya hivyo maana wa kumkanya hakuna kwahiyo hata arudi nyumbani usiku sawa tu.

Akasema kwamba kwasasa vijana mpo kwenye wakati mgumu sana na ndo maana matukio ya mauaji yamekua mengi sana kwa sababu za kiutawala pale nyumbani. alisema mengi sana lakini kwa Leo naishia hapa wakuu.

Alitoa angalizo pia kwa wanawake kutokujisahau kua wao ni akinanani ndani nyumba bila kujali pesa wala madaraka ya nje mfano ukiwa kiongozi serkalinI ukirudi nyumbani uongozi uache ofsini usije nao nyumbani, hapa vijana tujitathmini upya.
 
umeongea vizuri sana lkn jitahidi kueka koma kwenye sentens zako pangilia vzr kwamaan wavivu wa kusoma wanaeza kuishia njian.

Nmejitahid kusoma yote kwasababu nmeona maneno yamejaa na madini mazur ndani yake

Sent from my SM-J337W using JamiiForums mobile app
 
_20240129_201840.JPG
 
Back
Top Bottom