Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
Aaah mm huwa napotezea tu, huo muda wa kuanza kukumbusha ya nyuma hapana....Mvumilie. Mbane sasa akwambie. Wakati mwingine hali ya ubabe/ukali sana humtesa lady. Waweza fanya madudu lakini hutaki kukosolewa/kuhojiwa kwa kuwa tu wewe ndo baba. Hali inapoendelea, maumivu ndani ya moyo wa mwanamke huongezeka. Siku akipata fursa ya kuyatoa ndo huwa balaa. Zitafakarini sana kauli zinazofanana na hii "you are always like that". Jua imebeba vingi japo yamkini hawezi kuvisema kutokana na hali yake ya kuwa mwanamke