Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Wewe ni goldigger ukiona hivyo, huna mapenzi kama mtu hana hela najiuliza ulifikaje nae kitandaniNdo mvumilie tu kukosa ushirikiano wakati wa mechi!
Wewe ni goldigger ukiona hivyo, huna mapenzi kama mtu hana hela najiuliza ulifikaje nae kitandaniNdo mvumilie tu kukosa ushirikiano wakati wa mechi!
heee laana ipi tena mtumishingoja nimsaidie kujibu hili.......hii ni laana kama laama tulioachiwa na mtangulizi wetu .... isaya 50;11
kwa hiyo kamwe mawifi hawatakuja pendana
Mmmhakimaliza Idea utaipata tu hahaha
hawajui wanataka nn hawa watuHahahahah,,,utaskia this man is so boring! Akimpata huyo asshole atalia kinoma ati you dont even give me your time and listen to me. Cha ajabu atasalitiwa and she will still be there to stay just whining on her female friends ila hakuachi.
Kwa kweli,Kabisa maana ukingoja tuamue sisi utachelewa
Tafuta hela acha kulia lia mtoto wa kiume.Wewe ni goldigger ukiona hivyo, huna mapenzi kama mtu hana hela najiuliza ulifikaje nae kitandani
Hahaha wachana kabisa na kitu inaitwa mwanamkemaana kwenye no au Yes huwa tunaishia kusema "sijui wewe unaonaje" hapo sasa mfanya research hitimisho atalipataje hahaha ni hatari
[emoji23][emoji23][emoji23], hapo wazungumia makalio size zote??Kwanini wanawake wanapenda kujipiga picha makalio yao?
Ndio ndugu[emoji23][emoji23][emoji23], hapo wazungumia makalio size zote??
Hapana, sio kweli..Sio wanawake wote wanapenda kupiga picha makalio yao.Ndio ndugu
Tafuta hela acha kulia lia mtoto wa kiume.
Basi kitulize kwenye hizo K za typ yako mkaka!Aliekwambia mie sina hela nani sasa? Uzuri sichukuagi K za mafungu ndio maana siwezi kutana na adha kama hio.
Get unvailed bana....