Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Show yako inakua imenoga tehNinapomtongoza mwanamke; huwa najibiwa:
-Siko tayari kuolewa
-Mapenzi ya sasa pasua kichwa
-Wanaume wa sasa hawaeleweki
-Nakula ujana au bado sana kuwa na mpenzi.
Lakini ikitokea ukapiga shows kwake/kwa wasemao maneno hayo; mtafutano si wa nchi hii.
Yaani utafikiri wasiojulikana wanavyowatafuta wapinzani au members wa JF.
Husababishwa na nini hiyo?