Mkuu unamaanisha nini kusema mazingira aliyolelewa?kuna vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine husababisha mpenzi wako awe namna hiyo
cha muhimu ni kukaa na kuongea nae kwa utaratibu wa hali ya juu. anza kidogo kidogo, sio unakaa nae alafu unaanza kumshushia list nzima ya weakness zake. hapo utampoteza mazima.
- huenda ikawa na malezi alio lelewa.
- mazingira aliokulia
- Au ni personality yake tu
pia kama unampenda, sioni sababu ya wewe kushindwa kusema "samahani", if that is all it takes to make her happy.
unajua ili relationship iwe inaenda smooth, patners inabidi wawe wanavumiliana madhaifu yao (hakuna alie kamilika). hapo umemuangalia yeye kwenye viatu vyake, hebu jaribu kuviangalia na vya kwako, je visafi ?.
Wazazi ndio wanatakiwa kumfundisha mtoto jinsi ya kupeti-peti?



