Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
ni kweli kwamba ukiwa na ukaribu na msichana, mfano ukaribu wa kikazi labda mnafanya kazi ofisi moja au mnasoma wote darasa moja, huwa ni rahisi msichana yule kupata hisia za kukupenda automatically wewe mwanaume hata kama hakujui vizuri undani wako na wewe mwenyewe huna hisia nae zozote zaidi ya ushirikiano tu ktk baadhi ya mambo kama ya kikazi? yaani ni kweli ukaribu wa msichana unapitilizaga na hadi kumjengea hisia zingine juu ya mwanaume?

