zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #81
Zomba ni janga na laaana kubwa hapa JF phew!!!!!!!
Ukweli huwa mchungu, lakini nna uhakika unajifunza mengi mema kutoka kwangu. Na hutaki kuamini ndio maana una chuki binafsi. Hivyo ndivyo ilivyo.
Usinichukie na kunilaani, tulumbane kwa hoja. Mimi nakutakia kila la kheri na roho mbaya ikutoke na uwe msikivu utajifunza mengi sana kuliko ukijifunga kwa kujiona basi ndio unajuwa kila kitu. Una mengi ya kujifunza kutoka kwangu. Stahamili upanue kujuwa kwako.