Safari za Kikwete zazaa matunda...

Safari za Kikwete zazaa matunda...

Watu ambao hawajaenda shule wana matatizo makubwa kweli. Volunteers hawa wamekuwepo tangu enzi za Mwalimu, ni mpango wa Peace Corp wa Marekani. Pia tujiulize, ni jambo la kujivunia kuomba msaada wa waalimu hata baada ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika? Tujivunie kitu kingine.

Waalimu hawa wa msaada au wa kujitolea kama wanavyojulikana, wataweza kweli kufundisha shule za kata ambazo hazina madawati wala nyumba za waalimu?
Napita!
 
a) 300,000,000 x b) 334 = c) Waalimu 47? Where a = Gharama za kila safari, b= jumla ya safari, c = Outcome

Kazi bado tunayo katika kujifunza uchambuzi!
 
walinifundisha mwaka 94, nakumbuka paper crips tu. na waliofundishwa zaidi, nani amefanikiwa kwenda halvard university? au ndio mafisadi wameongezeka
 
Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.

kati ya hao walimu, wapo kina juma na salum??
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja. Umalipenda eeh, Zoba
Ficha upumbavu wako.. Peace corps wana ofisi zao hapa TZ tangu enzi za Nyerere. Nenda ktk ofisi zao ukafanye research utagundu huwa wanalet volunteers kila mwaka katika fani mbalimbali kama afya na nyingine za kijamii na siyo waalimu pekee. Peace corps inafadhiliwa 100% na serikali ya Marekani. Wanakuja kwa ruhusa ya serikali yao, hata tusipowaomba..
 
Kuna wakati ambao Tanzania inapata vyuo vya aina zote vingi na kuboreshwa kama huu wa Kikwete? umelala upo macho? Bila kuwaleta waliokuzidi kielimu kukufundisha unafikiri utaelimika? kwa lipi jipya? Wakati wa Kikwete ni wastani wa zaidi ya vyuo vikuu viwili kila mwaka. Upo hapo ulipo? ni nani mwingine aliyefanya hivyo?
It is better you stay very quiet. Kikwete is the most stupid president who has ever exist. Look at your country and how it has been affected with corruption and the like. The universities you are praising can't even compete with primary schools from the neighbouring countries. Get up and think. I don't see anything this man has done, but wasting our natural resources by giving them to others, while going for begging daily from them. Shame on you and your Kiwete/Dhaifu. Tanzania is in need of president badly!
 
Zomba kama hujui kitu ni heri unyamaze watu hao waqmeanza kuja toka zamani na kwa kweli sio msaada kwa nchi yetu kwani mimi nimewahi kufundishwa na mwalimu toka huko ambaye alikuwa anafundisha hesabu hiyo ilikuwa mwaka 1993 alikuwa anasolve maswali kwenye computer lakini anashindwa namna ya kutuelekeza anaweza kutumia dkk 80 kuelezea maswali mawili lakini asimalize.Walimu walioweza kufundisha vizuri ni kutoka uk na iliyokuwa urusi kama wapo watu waliosoma Tosamaganga watathibitisha usemi wangu.System ya elimu ya Marekani na ya kwetu ni tofauti sana
 
aadhali sikuisom hii.... cost equivant ya mwalimu kuja kwa gharama za kawaida haiwiani

pili hii kitu ilikuwepo sana tu... mimi nilindishwa na peace corps long time

tunapokea misaada hai ya walimu? kweli janga ombaomba
 
Hayo yote unayosema ni sawa, lakini hawa waliombwa mahsusi kuja kusaidia kusomesha sayansi.

Labda uniambie wanakuja kutazama (scout) vijana wanaofaa kuwa wana sayansi wazuri baadae ili wawahi kabisa kwani wenzetu wanafikiri mbali sana, unafikiri scholarship wanatupa huwa za bure? wakita scholarship mia wanaorudi huku ni wale ambao hawakufanya vizuri sana wanaofanya vizuri huwa wanawahiwa hukohuko kwa ma offer ya makampuni na taasisi za huko. Uliyajuwa hayo?

Yeah, Ila rais atakuwa kakosea kwa kufanya "one man show" katika haya masuala.Rais anaweza kuwa kaomba kwa stail ambayo jamaa pia wanaweza tuona kuwa tupo chini sana na hivyo hatuhitaji trainers wa calibre ya juu.So watatuma vijana au walimu wa kawaida tuu kuja kutupa elimu ya kawaida tuu, na wengine kujikuta wanakutana na vijana wazuri katik hesabu na maeneo ya calculation kiasi cha kuwatisha hata wenyewe.Kumbe wengi wa vijana wetu huwa wana miss uelewa wa Misingi ya sayansi, na freedom of mind katika kucheza na hiyo misingi kiasi cha kuja na mawazo mapya, mawazo yatakayaopelekea kuwa wagunduzi.

Rais anaweza kuwa alikosea kufanya mambo kinvyake, au alikosea kuchukua washauri wabaya wa kumuongoza kujua hata hao walimu wa sayansi wawe wa namna gani na uwezo gani.Na je hunahitajika kuwa na vifaa maalumu?kama vipo basi ingebidi nayo aviombe .Pia rais alihitaji kujua kama kweli hawa walimu wanafikia viwango vya juu ,kiasi cha kuwafanya walimu wabongo wapatwe mwamko na kujifaunza mengi.

Kuna mifano mingi ya hawa wataalamu ambao huja na kufundisha vitu vya kawaida sana, ila kwa kelele nyingi sana.Wakijagundua kuwa kuna zaidi yao basi huamisha sababu kuwa wamekuja kwa ajili watoto wasiobahatika kutapa nafasi.

Palikuwa na kelele si muda mrefu kuwa jamaa wa IBM wamekuja bongo kusaidia Utalii,na waliondoka kimyakimya sijui kam wamecha kichu cha kujivunia hivyo.Zaidi ya website iliyochoka na hata hawakuanzia from the scratch ,walitumia tempalte ya Joomla.Hapa nilitegemea Rais angeomba IBM hata wafungue kakiwanda kadogo kwa ku asseble computer na kupaki angalau in the future wangeweza kiongezea uwezo na mwisho kifanye mambo mengi yatakayofanya technologia ihame n akuwa local computer manufacturers wenye brnd zao.Nilitegemea akina microsoft, google na wengine anaoongea na kwa marefu ili wawe na vitega uchumi vya maana hata kama mwanzoni hawatawatumia watanzania,ila baadaye watanzania watajua nini cha kusoma ili waweze ingia katika hizo nafasi.

Rais angeshauriwa vizuri angeomba wastaafu katik vyuo kama MIT na wengine ili waje toa seminar kwa wanavyuo,tehcnology centers kwa wanafunzi walihitimu ili kupata faida kubwa kwa muda mfupi.Mtu aliyehitimu chuo kumfundisha vitu ambavyo asingeweza jifunza popote Tanzania, na makampuni makubwa hayawezi achia access kwa wahitimu kujifunzia,anapata misingi na mwangaza kwa taaluma laizokuwakiziona tuu katika internet na kuzitumia km use wa kawaida katika bidhaa .Yaani Hawa jamaa wanaaweza pia kuwa volunteers.nchi pia iwe na mfumo wa kubakisha elimu na kuieneza na baadaye kuindeleza ili kuja kitu kipya kitakachofikia pa kushindana nao.SASA WAO WANPOTEZA MUDA FUNDISHA MBWA WAZEE NEW TRICKS PALE UDSM,waadhiri wengine wanakaribia kustaafu, wahadhiri wengi pale wameanzia fani tofauti na kila degree wamesoma kitu tofauti na simwendelezo wa kijuacho.Ni ngumu hawa jamaa kubuni kitu au kuhamisha elimu kwa kizazi kipya achilia mbali kuelewa vitu vinavyohitaji young minds na strong previous backgrounds.Hawa jamaa wamejaa kiburi na tabia nyingine za kirasimu.

President anaweza kuwa na nia nzuri katika hili ila akakosa mwelekeo katika kulifanikisha.Kuna mambo ya kuchambua vitu vinavyobanwa na copyright, patent etc ahalafu akawafuta wahusika wa technology akiwa na mapango mzima aombe nini,na awe keshaweka mazingira ya kusaidia zoezi.Yaani kukwepa mammbo ya kisheria, kuwapa uwekezaji wa unaoanzia level fulani amabyo itawafanya baada ya kukaa hapa nchini kwa muda watanzania watakuwa wamejifunza hayo maendeo kwa kiasi cha kuwafanya hawa jamaa wawatumie hata kwa office za nchi nyingine, na baadaye hawa watanzania wajifunze kuanzisha brand zao.Japani walianza unda pikipiki kwa kununua ya Mzungu, baadaye wakaza unds parts,kiasha nzima, na baadaye wakaanza buni zao.Hivyo hivyo kwa magari.

Mkampuni huwa wakifikia mahalia wakagundua kuwa kuna aiana ya bidhaa inapenda ukanda huu sana huamua kulocalize services, baadaye huanza leta mitambo ya kutengeneza parts, baadaye hujikuta asilimia zinapanda hadi kufikia asilimia za kuamua kila kitu kitengenezewe hapo.Na kwa huu mwendo wa uchumi kuyumba huw apia huuza share hadi kuuza kampuni.Huwa kampunni huuzwa na tehcnoogia zake.Mazingira kama haya ndio huweza vushs mataifa n akuwapeleka juu kitechologia.Na mara kampun ikiw ana wazawa kama wamiliki, na teknologia wenye uhuru nayo ni rahisi wazawa wakapata kujikomaza na pa kusambazia tehcnologia,mwsiho wake wataibuka watu kibao na lebo za ambazo nazo mitaji ikikomaa wataingia katika ubora wa kimataifai
 
Hivi wamepewa interviews au ni viapo tuu?Wasomi msaidieni presidaa katika hili, ili alichoanzisha kiwe na manufaa.Kama tujuavyo rais hawesoma kila kitu na si lazima ajue ubovu wa elimu yetu na attitude ya wanafunzi wetu toward dhana nzima ya kuzielewa taaluma zao kwa undani kuliko kukimbilia vyeti vyenye maksi kubwa.
 
Mbona husemi ya Bill Gates:

President Jakaya Kikwete officially opened (UDOM University of Dodoma) yesterday, student capacity of 45,000 compared with UDSM (University of Dar es Salaam) student capacity of 20,000. UDOM is MASSIVE, you need to travel by car between faculties. Kikwete striked a deal with Bill Gates in building an IT Center of Excellent at UDOM.

UDOM will change Dodoma for sure.

Source: Dodoma | Tanzania | City Gallery - Page 2 - SkyscraperCity
 
Zomba kama hujui kitu ni heri unyamaze watu hao waqmeanza kuja toka zamani na kwa kweli sio msaada kwa nchi yetu kwani mimi nimewahi kufundishwa na mwalimu toka huko ambaye alikuwa anafundisha hesabu hiyo ilikuwa mwaka 1993 alikuwa anasolve maswali kwenye computer lakini anashindwa namna ya kutuelekeza anaweza kutumia dkk 80 kuelezea maswali mawili lakini asimalize.Walimu walioweza kufundisha vizuri ni kutoka uk na iliyokuwa urusi kama wapo watu waliosoma Tosamaganga watathibitisha usemi wangu.System ya elimu ya Marekani na ya kwetu ni tofauti sana

Tatizo nyie mnafundishwa kukariri wenzenu wanafundishwa kuelewa. Sasa kama anayo kompyuta kwanini asiitumie? andika humu basi kwa kutumia kalamu na karatasi. Nyie ndio wale wale, mkipewa pesa bank imehasabiwa na mashine hamkubali mpaka muijaze mate kwa kuhesabu kwa vidole na mate. Maendeleo hamjui maana yake hata mfanywe nini.
 
Yeah, Ila rais atakuwa kakosea kwa kufanya "one man show" katika haya masuala.Rais anaweza kuwa kaomba kwa stail ambayo jamaa pia wanaweza tuona kuwa tupo chini sana na hivyo hatuhitaji trainers wa calibre ya juu.So watatuma vijana au walimu wa kawaida tuu kuja kutupa elimu ya kawaida tuu, na wengine kujikuta wanakutana na vijana wazuri katik hesabu na maeneo ya calculation kiasi cha kuwatisha hata wenyewe.Kumbe wengi wa vijana wetu huwa wana miss uelewa wa Misingi ya sayansi, na freedom of mind katika kucheza na hiyo misingi kiasi cha kuja na mawazo mapya, mawazo yatakayaopelekea kuwa wagunduzi.

Rais anaweza kuwa alikosea kufanya mambo kinvyake, au alikosea kuchukua washauri wabaya wa kumuongoza kujua hata hao walimu wa sayansi wawe wa namna gani na uwezo gani.Na je hunahitajika kuwa na vifaa maalumu?kama vipo basi ingebidi nayo aviombe .Pia rais alihitaji kujua kama kweli hawa walimu wanafikia viwango vya juu ,kiasi cha kuwafanya walimu wabongo wapatwe mwamko na kujifaunza mengi.

Kuna mifano mingi ya hawa wataalamu ambao huja na kufundisha vitu vya kawaida sana, ila kwa kelele nyingi sana.Wakijagundua kuwa kuna zaidi yao basi huamisha sababu kuwa wamekuja kwa ajili watoto wasiobahatika kutapa nafasi.

Palikuwa na kelele si muda mrefu kuwa jamaa wa IBM wamekuja bongo kusaidia Utalii,na waliondoka kimyakimya sijui kam wamecha kichu cha kujivunia hivyo.Zaidi ya website iliyochoka na hata hawakuanzia from the scratch ,walitumia tempalte ya Joomla.Hapa nilitegemea Rais angeomba IBM hata wafungue kakiwanda kadogo kwa ku asseble computer na kupaki angalau in the future wangeweza kiongezea uwezo na mwisho kifanye mambo mengi yatakayofanya technologia ihame n akuwa local computer manufacturers wenye brnd zao.Nilitegemea akina microsoft, google na wengine anaoongea na kwa marefu ili wawe na vitega uchumi vya maana hata kama mwanzoni hawatawatumia watanzania,ila baadaye watanzania watajua nini cha kusoma ili waweze ingia katika hizo nafasi.

Rais angeshauriwa vizuri angeomba wastaafu katik vyuo kama MIT na wengine ili waje toa seminar kwa wanavyuo,tehcnology centers kwa wanafunzi walihitimu ili kupata faida kubwa kwa muda mfupi.Mtu aliyehitimu chuo kumfundisha vitu ambavyo asingeweza jifunza popote Tanzania, na makampuni makubwa hayawezi achia access kwa wahitimu kujifunzia,anapata misingi na mwangaza kwa taaluma laizokuwakiziona tuu katika internet na kuzitumia km use wa kawaida katika bidhaa .Yaani Hawa jamaa wanaaweza pia kuwa volunteers.nchi pia iwe na mfumo wa kubakisha elimu na kuieneza na baadaye kuindeleza ili kuja kitu kipya kitakachofikia pa kushindana nao.SASA WAO WANPOTEZA MUDA FUNDISHA MBWA WAZEE NEW TRICKS PALE UDSM,waadhiri wengine wanakaribia kustaafu, wahadhiri wengi pale wameanzia fani tofauti na kila degree wamesoma kitu tofauti na simwendelezo wa kijuacho.Ni ngumu hawa jamaa kubuni kitu au kuhamisha elimu kwa kizazi kipya achilia mbali kuelewa vitu vinavyohitaji young minds na strong previous backgrounds.Hawa jamaa wamejaa kiburi na tabia nyingine za kirasimu.

President anaweza kuwa na nia nzuri katika hili ila akakosa mwelekeo katika kulifanikisha.Kuna mambo ya kuchambua vitu vinavyobanwa na copyright, patent etc ahalafu akawafuta wahusika wa technology akiwa na mapango mzima aombe nini,na awe keshaweka mazingira ya kusaidia zoezi.Yaani kukwepa mammbo ya kisheria, kuwapa uwekezaji wa unaoanzia level fulani amabyo itawafanya baada ya kukaa hapa nchini kwa muda watanzania watakuwa wamejifunza hayo maendeo kwa kiasi cha kuwafanya hawa jamaa wawatumie hata kwa office za nchi nyingine, na baadaye hawa watanzania wajifunze kuanzisha brand zao.Japani walianza unda pikipiki kwa kununua ya Mzungu, baadaye wakaza unds parts,kiasha nzima, na baadaye wakaanza buni zao.Hivyo hivyo kwa magari.

Mkampuni huwa wakifikia mahalia wakagundua kuwa kuna aiana ya bidhaa inapenda ukanda huu sana huamua kulocalize services, baadaye huanza leta mitambo ya kutengeneza parts, baadaye hujikuta asilimia zinapanda hadi kufikia asilimia za kuamua kila kitu kitengenezewe hapo.Na kwa huu mwendo wa uchumi kuyumba huw apia huuza share hadi kuuza kampuni.Huwa kampunni huuzwa na tehcnoogia zake.Mazingira kama haya ndio huweza vushs mataifa n akuwapeleka juu kitechologia.Na mara kampun ikiw ana wazawa kama wamiliki, na teknologia wenye uhuru nayo ni rahisi wazawa wakapata kujikomaza na pa kusambazia tehcnologia,mwsiho wake wataibuka watu kibao na lebo za ambazo nazo mitaji ikikomaa wataingia katika ubora wa kimataifai

Wewe nawe pumba zote za nini. Caliber ya juu unataka kwenda mwezini? hata sindano hujui kutengeneza?
 
Hao walimu wanakuja kuongeza xpenses tu!, toka lini Mmarekani akamfundisha mtanzania?

Kwanza mitaala 2metofautiana, watoto hawajui kiingereza, maticha wenyewe sometimes ngeli cheche.

Ndo ashindwe kuwalipa walimu wakwe2 akaombe walimu Marekani? Huyu jamaa co mzima kbs na analidhalilisha taifa le2, yani hela 2kope nje, 2waombe watujengee mashule, na walimu pia 2waombe?

Hujakosea ndugu yangu.Walimu wamechoshwa na mfumo kiasi cha kuwafanya walimu wawe ni watu w akukaririsha wanafunzi kama wao walivyokaririshwa proocols za mfumo kiasi kwamba hata zikibadilika wao hawadiliki.Walimu wengi hata waliotoka shule huwa hawana ufanisi sana kwa wakirudi huwa wanajikuta wanarudi kukule huku tofauti ikiwa ni mshahara au cheo na taaluma huanza wakimbia na kubaki na extracurricula tasks.

Kwa anyebisha arudi shule alizosoma ajribu wasikiliza walimu waliokufundisha,utawaonea huruma kwa wanachokifundisha.Utagudundua kuwa uvijuavyo ni vingi kuliko alivyokufundisha mwalimu na inaelekea kuwa tofauti kati yako na huyo mwalimu zilikuja kwa vile ulikuwa ukijua maadhi ya mambo kuliko yeye il ahapakuw ana lugha ya kidiplomasia ya kuweza elewana na kuondoa hofu.Sikiliza vitu vingapi vya kawaida tuu na si vya level ya juu vikitolewa majibu kama "wewe jua hivyo",mwanafunzi akizidi uliz aili ajue zaidi ataambulia karipiwa kuwa "kama wewe ni mwalimu andika upendalo" huku akijiweka katik mazingir aya kuchukiw ana huyo malimu.Walimu wa Tanzania huwa tunawapenda si kwa ajili ya viwango vyao vya elimu, uelewa wao kwa wafundishayo, BALI KWA VILE VIPINDI AMBAVYO HUONYESHA NIA YAO YA KUTAKA TUFAULU KWA BIDII ZOTE hata kama hatuna uwezo.Kiingereza si lazaima wjaue sana kwani hizo notes na vitabu vinaeleweka kiingereza chake ila IDEAS zilizopo humo ndani kuweza zielewa kwa mapana ndio taabu.Mbona hata Kiswahili huwa watoto wanaotoka miji inayozungumza kiswahili bado ni shida.(Kuna sifuri za kiswahili, kuanzia Tanga,Dar,Tanga etc).Kama ni tofauti ya Lafudhi ya Kiswahili ch akitaaluma ungetegemea Dar kuwa na wafaulu wengi kwani kiswahili chao ndio kina nafasi kubwa katik Kiswahili cha Bakita.Ila sivyo
 
Back
Top Bottom