Safari yangu ya Mwanza

Safari yangu ya Mwanza

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,164
Reaction score
22,742
Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari.

Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha.

Tumefika sehemu Morog kufukia dawa.na stand ya Morog tumefika saa 3 kamili Asub ( je ni sawa au dereva kaendesha taratibu sana nimshtaki kwa jamaa zangu ambao ni matraffic?)

Nmekaa na jamaa nlisahau kuweka order ya kuwekewa mrembo pembeni yangu. Hii wakati flani inabidi utoe na bakshishi ya tsh 5000 kwa mkataji ticket na umpe vigezo unavyotaka maana azawaizi unaweza kuta amekuwekea bibi mmoja anavuta ugoro mwanzo wa safari hadi mwisho na kupiga chafya.

Kuna bus jingine la Allys Star linatu overtake. Hii huwa ina kera. Dereva akiendelea hivi naweza waambia traffic kuwa anaendesha mwendo wa kinyonga.

Kati ya Higer na Golden Dragon ipi inakimbia sana?
 
download.jpeg

Nataka demu mimi
 
Wazo lako la uzi ni zuri lkn...muendelezo ni mbovu sana.
 
Hapo katikati ulilala nini maana umeruka maeneo mengi sana yenye vivutio kama Daraja la Ruvu, Mizani ya Vigwaza, Chalinze na Mizani ya Mikese
Nlilala...nmekuja shtuka watu wanatakiwa kwenda fukia dawa. Nikashuka kasi sana maana nlikuwa bado nina usingizi then nilipofika nje nikawa sielewi elewi.usingizi ulipoisha nikaona watoto wakali wengi pia wanaelekea bua Sauli. Nikawafuata kufika mlangoni ndo akili ikarudi kuwa naenda wapi tena.
 
Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari.

Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha.

Tumefika sehemu Morog kufukia dawa.na stand ya Morog tumefika saa 3 kamili Asub ( je ni sawa au dereva kaendesha taratibu sana nimshtaki kwa jamaa zangu ambao ni matraffic?)

Nmekaa na jamaa nlisahau kuweka order ya kuwekewa mrembo pembeni yangu. Hii wakati flani inabidi utoe na bakshishi ya tsh 5000 kwa mkataji ticket na umpe vigezo unavyotaka maana azawaizi unaweza kuta amekuwekea bibi mmoja anavuta ugoro mwanzo wa safari hadi mwisho na kupiga chafya.

Kuna bus jingine la Allys Star linatu overtake. Hii huwa ina kera. Dereva akiendelea hivi naweza waambia traffic kuwa anaendesha mwendo wa kinyonga.

Kati ya Higer na Golden Dragon ipi inakimbia sana?
Ulichokiongea hakina mbele Wala nyuma yaan upo upo tu Kama zuzu hvi
 
Nlilala...nmekuja shtuka watu wanatakiwa kwenda fukia dawa. Nikashuka kasi sana maana nlikuwa bado nina usingizi then nilipofika nje nikawa sielewi elewi.usingizi ulipoisha nikaona watoto wakali wengi pia wanaelekea bua Sauli. Nikawafuata kufika mlangoni ndo akili ikarudi kuwa naenda wapi tena.
Dah inabidi usinywe Kitoko kabla ya safari unaweza kujikuta umepanda basi la kurudi Dar la kampuni tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom