Safari yangu ya Mwanza

Safari yangu ya Mwanza

Hiyo allys uliyopanda haikimbii sana inaonesha.. Ipo ally's moja hio haitumii diesel inatumia petrol.ni balaa na nusu
 
Happy nation naukubari saana imagine SAA 3 tulikuwa shinyanga SAA 5 kamili tuko nyegezi
Basi zao zina SEAT za kibabe kama ndege. Nawakubali sana.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nlilala...nmekuja shtuka watu wanatakiwa kwenda fukia dawa. Nikashuka kasi sana maana nlikuwa bado nina usingizi then nilipofika nje nikawa sielewi elewi.usingizi ulipoisha nikaona watoto wakali wengi pia wanaelekea bua Sauli. Nikawafuata kufika mlangoni ndo akili ikarudi kuwa naenda wapi tena.
Hivi we uko safari kweli, au unatafuta like na comments be serious basi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom