Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,164
- 22,746
- Thread starter
- #81
Sure wakitaka mambo serious waende kwenye siasaKuna wakati Kama ule muda wa bar lazima watu muongee Mambo Kama haya kupunguza stress.
Sio kila siku mwendazake au mjazake
Atakuwa katika kuchimba dawa kapanda la Bariadi, ila Allys ya Bariadi, inatokea Morogoro haitokei Dar. Na ilishafika huko zamani.