Safari yangu ya Mwanza

Kakalie kitu. Mambo ya ngoswe achana nayo. Wajanja huwa wakiona issue haiwahhsu wanalala mbele. Hawasimami...sasa wewe bwege mshaMba unasimama kushangaa.... Unashadadia maisha ya watu...nyie ndo huwa mnaolewa ukoo mzima na mwanaume mmoja...sababu ya kujipendekeza.
🤣🤣🤣🤣Kwani ushamba ni tusi..??ni kweli ushamba unakusumbua bhanaa kwani nasema uongo ndugu yangu???usipanic sana kadiri unavyosafiri safiri ushamba utapungua halafu utakuja kuwa mjanja siku moja....🤣🤣🤣🤣😜
 
Mkeka wenu huu hapaKUTOKA : DAR
KWENDA : MWANZA
LOCATION :IGUNGA

1/ Isamilo DSB 18:28

2/ Ally's star DVA 18:28

3/ Simiyu Dreamliner DGW 18:30

4/ Ally's star DVA 18:36

5/ Frester DUC 18:37

6/

7/

8/

Upo ktk allys ipi
 
Kuna sehemu hapo karibu kabisa na Jimbo la sabufa, panaitwa Chalinze ndogo mita chache kabla kufika Dodoma. Pana chomwa nyama ya mbuzi. Vipi dereva alikua muungwana akasimamisha hapo ukala utumbo wa mbuzi wa kuchoma?
Otherwise lunch mlikula wapi?
Magari ya mwanza pale hayasimami mkuu...wananiudhig balaa yaan
 
Kuna sehemu hapo karibu kabisa na Jimbo la sabufa, panaitwa Chalinze ndogo mita chache kabla kufika Dodoma. Pana chomwa nyama ya mbuzi. Vipi dereva alikua muungwana akasimamisha hapo ukala utumbo wa mbuzi wa kuchoma?
Otherwise lunch mlikula wapi?
Hakuwa muungwana. I wish tungepewa hata nusu saà tule nyama choma. Kuna haja ya kuweka sheria za namna hii
 
🤣🤣🤣🤣Kwani ushamba ni tusi..??ni kweli ushamba unakusumbua bhanaa kwani nasema uongo ndugu yangu???usipanic sana kadiri unavyosafiri safiri ushamba utapungua halafu utakuja kuwa mjanja siku moja....🤣🤣🤣🤣😜
Tumekutanaa washamba. Ila we mshamba zaidi kushadadia uzi au kuwa mfuasi wangu
 
Back
Top Bottom