Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,961
- 3,919
Natafuta mtu atakaesafiri kutoka dar kuja mwanza aje na vyombo vyangu vya ndani. Nipo mwanza
Ofa yangu kwake 20,000
Ofa yangu kwake 20,000
Mm npo hapa mbezi stand unaonaje uvilete hapa ili nivitume huko mwanza kupitia basi?? Hapa kuna basi la Tungis,Frester,Allystar,Najmunisa,Happynation,Kureedhunters,. afu hyo 20k unilipe mm kama processing fee.Natafuta mtu atakaesafiri kutoka dar kuja mwanza aje na vyombo vyangu vya ndani. Nipo mwanza
Ofa yangu kwake 20,000
Asante sana kwa msaada wakoMm npo hapa mbezi stand unaonaje uvilete hapa ili nivitume huko mwanza kupitia basi?? Hapa kuna basi la Tungis,Frester,Allystar,Najmunisa,Happynation,Kureedhunters,. afu hyo 20k unilipe mm kama processing fee.
Angalia bus inayofika karibu na wewe ulipo.Natafuta mtu atakaesafiri kutoka dar kuja mwanza aje na vyombo vyangu vya ndani. Nipo mwanza
Ofa yangu kwake 20,000
Asante sana kwa msaada kaka!!Angalia bus inayofika karibu na wewe ulipo.
Kwa mfano.
Tungi's inafika hadi Igoma
via Nyegezi,Nata,Buzuruga
Waliobaki wengi huishia Nata.
Ni hivo tu?Asante sana kwa msaada kaka!!
Umenipa hint muhimu sana.
Nina mtungi mdogo wa oryx ambao una gesi ndani yake.
Je inawezekana kuusafirisha kwa basi?
Kabisa. Unakuja shtuka upo mbezi....Dah inabidi usinywe Kitoko kabla ya safari unaweza kujikuta umepanda basi la kurudi Dar la kampuni tofauti
Mke/Mpenzi ulishamsafirisha? Hivyo vyombo vya tsh 20000 si nunua vipya tu?Natafuta mtu atakaesafiri kutoka dar kuja mwanza aje na vyombo vyangu vya ndani. Nipo mwanza
Ofa yangu kwake 20,000
Wao watamsafirishia bure?Mm npo hapa mbezi stand unaonaje uvilete hapa ili nivitume huko mwanza kupitia basi?? Hapa kuna basi la Tungis,Frester,Allystar,Najmunisa,Happynation,Kureedhunters,. afu hyo 20k unilipe mm kama processing fee.
Oooooh....sasa kumbe ni mtungi tu...Asante sana kwa msaada kaka!!
Umenipa hint muhimu sana.
Nina mtungi mdogo wa oryx ambao una gesi ndani yake.
Je inawezekana kuusafirisha kwa basi?
Mi nashangaa wewe pumbavuh utafikaje kwa kushadadia yasiyokuhusu. Upo siku mbaya?Kila anayesafiri anaandika huu ujinga tutafika kweli
Kakalie kitu. Mambo ya ngoswe achana nayo. Wajanja huwa wakiona issue haiwahhsu wanalala mbele. Hawasimami...sasa wewe bwege mshaMba unasimama kushangaa.... Unashadadia maisha ya watu...nyie ndo huwa mnaolewa ukoo mzima na mwanaume mmoja...sababu ya kujipendekeza.Yaanii we jamaaa ni mshamba sanaa asee,afu hujielewi bado...
Tumetoka Singida tayari tunaliacha ziwa singidani.kuwa mpole uvuke singida kisha utaleta mrejesho rafu mtakazopigwa..