Jung Levi
Member
- Apr 28, 2019
- 15
- 19
Hadi Covid 19 ipungue na Rais wetu apate hiyo nafasi Angela Merkel atakuwa siyo Kansela wa Ujerumani tena.Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani.
Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua aombe kwenda kumtembelea chancellor wa Ujerumani Mama Angel Makel kwa uzoefu na pengine kubadilishana mawazo juu na namna ya kukabikiana na changamoto za kiongozi mkuu mwanamke na ikibidi apate uungwaji mkono na Ujerumani katika kutatua changamoto za watanzania.
Kama mwanamke mwenzake ni heshima sana kama ziara yake hata kama ikiwa moja ya ulaya iwe Ujerumani na ya pili Marekani akakutane na makamu wa Rais wa Marekani kwasababu hizohizo za viongozi wanawake kupeana joto na support katika kutatua changamoto za watu wao.
Ni mawazo yangu tyuuu.