Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

Wakuu habari za mapumziko ya mwisho wa juma? Na kwaresima na Ramadhan zenu natumai zinakwenda swadakta.

Kwa uweza wa Mungu kesho nitakuwa safarini kuelekea Dongobesh wilayani Mbulu. Kwa yeyote mwenye uzoefu na mahali hapo anaweza shea humu mazuri na mabaya ya hapo.

Nitakuwa hapo kwa mwezi mmoja kikazi. Nawasilisha na ahsanteni sana.
Dongobesh hakuna noma poa sana kuna njia tatu za kupita yakwanza ni Karatu, yapili ni Dareda, yatatu ni Mbuyu wa Mjerumani. Guest nzuri ni ya mwanariadha mstaafu Zebedayo Bayo
 
Hali ya hewa nzuri, kuna kaubaridi kidogo, kama umetoka sehemu ya joto andaa nguo nzito kidogo

Kuna matope mvua ikinyesha

Kimbulu ndio lugha kuu hata hospitali ukifika au masokoni, unaweza ukawa discussion wakidiscus kwa kimbulu

Wanapenda sana kusoma ,hasa biology na chemistry

Kwakipindi hiki asilimia kubwa watu wapo mashambani , wanalima sana mahindi na maharage,

Pale kwa upande wa siasa HATA WATOTO NA WANAWAKE wanafuatilia sana siasa ukifika kutana na mzee yeyote piga nae story za siasa utajua kweli kuna watu wanajua mambo

Muda wote hata mchana wanaume wanavaa shuka, huo ni mtoko kabisa, pia mara nyingi huvaa bukta zile za shule ya msingi zikiwa na viraka( SIO UMASIKINI) ila ni tamaduni ya jamii hiyo. Tena hivyo viraka vinashonwa na uzi kwakutumia mkono na vinabandikwa kwa nje ( INGAWA SIO WOTE WAPO HIVYO) Na huenda wakawa wanabadilika kutokana na majira

Nguruwe zinafugwa kwa wingi mno

Sio wapenda usafi. Kula yao ,vaa yao, sio watu wakujipenda sana

Miswaki mara nyingi huwa niya miti(SIO KWAMBA MADUKANI HAKUNA ILA NI MAZOEA) ingawa sio wote

Rangi ya udongo ni udongo mwekundu.

Usafiri upo ila mtapangwa kama magunia ya mchele, kama kuna watu wanajua kupanga watu kama viroba vya mizigo utawakuta huko, labda kama unausafiri wako binafsi

Kila mahali utasikia neno SAITA,SAYUU,BARAGAHE,DERO, SHIDIKAH kariri hayo maneno ni comon kwa dongobesh

Ahsante
Nipo Karatu mwaka wa tatu sasa kikazi na nimecheka kwa nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Hakika mkuu unawajua hao watu kipindi cha mbaazi imefunga ni uzinzi kwa kwenda mbele, mabomba ya maji ni ya ku pump , nguruwe wanachungwa kama mbuzi, kipindi cha mahindi mabichi ni mwendo wa mahindi ya kuchemsha , ukikuta mtu kajisaidia shamban choo chake ni mahindi matupu, watoto wadogo wanavalishwa mashati marefu bila bukta , kila boma limefuga mbwa uchwara, kuna pombe ya asili ya mtama inaitwa mangure, usafiri ni cruser na one 10 , kipnd cha ukame vumbi jekundu utalinywa , ukiomba utamu kwa watoto wa kimbulu utasikia daaah ww chukua tu ni sambi sako mwenyewe , mtu wa kuja wanakuita omooo, ata kama una umri mdgo utasalimiwa shkamoo na mtu wa miaka 60 cha msingi uwe umependeza tu , Watu wa huko ni wakarimu mno ukiishi nao vizuri mahindi na vyakula vingne utavipata bure kabsa .
Homo not omoo.. hapo kwenye shikamoo ni uwongo.
 
Wakuu habari za mapumziko ya mwisho wa juma? Na kwaresima na Ramadhan zenu natumai zinakwenda swadakta.

Kwa uweza wa Mungu kesho nitakuwa safarini kuelekea Dongobesh wilayani Mbulu. Kwa yeyote mwenye uzoefu na mahali hapo anaweza shea humu mazuri na mabaya ya hapo.

Nitakuwa hapo kwa mwezi mmoja kikazi. Nawasilisha na ahsanteni sana.
Weekend panda cruiser nenda kaspend Mbulu mjini ndo pisi za kuokota. Niliwahi kupiga demu hapo Mbulu asubuhi anaomba 5,000 tu. Nikampa 20,000 akapagawa Kama kapewa Milioni.
NB: Qu.ma mnato
 
Back
Top Bottom