Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,083
- 13,960
Kamanda anaweza tenda haki na sheria kwa weledi,mahakama na magereza nazo zitende haki zisituangushe raia wema.Naunga mkono hoja.
Hii tabia ya kutumia demokrasia kupambana na watu wanao tumia silaha za moto haitofanikiwa kamwe kamwe ni lazima tuwe wawazi hawa watu wanapaswa kuchapwa risasi tuu kama ilivyokuwa kipindi cha Magu..
Hawa wapumbavu kuwakamata kama vile ni wezi wa vijiko ni ujinga na tunao teseka ni wakazi wa dares-salaam yani watu wanavamia hadi suma jk halafu unawakamata kidemokrasi hivi halafu useme uhalifu utakwisha kweli?
Lazima tuseme ukweli dawa ya moto ni moto sasa hivi dar kuna hofu kubwa ya ujambazi na njia ya kuumaliza ni kuwapa taarifa wenzao wameuwawa wakiwa wanapambana na jeshi la polisi.
Hawa wanapaswa kutwanga risasi tuu sio kuleta story za kuwakamata