Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Mungu anahaja na roho yako imtumikie ndiyo maana kakupa hata ufahamu wa kuweza kuandika ujinga unao uwaza ili uhubiriww injili upone.
 
Thibitisha kwamba yupo

Mkuu,kama miaka yako yote hujaamiini uwepo Wa Mungu,usiniambie mimi nikuthibitishie,Mungu anatafutwa.Tunaitafuta kweli na hii ndiyo 'our life quest'.
Kitabu changu cha Dini,Bible kinasema '..seek and you will find..' Na ndicho nlichokifanya many years ago mpaka leo ninapokuwa na maswali yasiyokuwa na majibu.
Na bado Nina maswali mengi yasiyokuwa na majibu,ila nimekuja Ku realize sitokuja kupata majibu yote na majibu machache ninayopata yanakuka 'unspoken'.Kwa hiyo bora niridhike na kidogo ninachoona na kutafuta kweli ndani yake.Maana kama nikishindwa katika hiki kidogo Basi ntashindwa hata kama nikioneshwa mbingu hadi mwisho wa anga.

Don't think all knowledge in this world was achieved through logical reasoning,Some things need a leep of faith and most of all humility.

Binafsi,kujifikiria mimi kama result ya bingbang au any other theory Ni kichekesho,because all I see is creation.

Ntakupa mfano mdogo.
Wewe uwe unatembea.Njiani ukakutana na jiwe au plastiki.Hautashtuka.utakutana na chuma hautashtuka.Sema ukakutana na Saa ya mkononi kwa Mara yako ya kwanza.Lazima utaichukua na kuiangalia.Saa hii Ina mishale ya chuma au plastic inatembea yenyewe baadae unagundua pia Ina betri ambayo ikiisha inabidi iwekewe nyingine.inajiendesha kwa umakini.

Je, itakuwa rahisi kumwamini mtu atakayekuambia kuwa Saa hiyo ni chuma na plastiki kwa mfano,zilijikusanya na baada ya muda zikageuka Saa? Au utamwamini mtu atakayekuambia hiyo Saa ilitengenezwa kwa ustadi mkubwa na mtu (au muumbaji wake) aliyekuwa anajua jinsi inatakiwa ifanye kazi?

Binafsi uumbaji ndilo jibu ninalolielewa zaidi kwa sababu nyingi sana.Nothing can change that in me.
Na ningependa kusema Mungu Ni Muumba wetu na siyo kama specimen unayoweza kupeleka laboratory na kuchunguza.
Kuamini au kutoamini uwepo wake Ni battle kati yako wewe na nafsi yako mpaka siku ya kufa kwako.Its not someone else's job to instill faith in you.Deep down inside you,you make a choice on what to believe or what to not believe.
 
Dini ni moja ya mambo ambayo yamekua yakiharibu binadamu.
Watu wanakua brainwashed sana na ukikuta mtu kazama huko anakua hana tofauti na mtu anae tumia mihadarati.
Religion is cocaine in another form.
 
Mkuu,kama miaka yako yote hujaamiini uwepo Wa Mungu,usiniambie mimi nikuthibitishie,Mungu anatafutwa.Tunaitafuta kweli na hii ndiyo 'our life quest'.
Kitabu changu cha Dini,Bible kinasema '..seek and you will find..' Na ndicho nlichokifanya many years ago mpaka leo ninapokuwa na maswali yasiyokuwa na majibu.
Na bado Nina maswali mengi yasiyokuwa na majibu,ila nimekuja Ku realize sitokuja kupata majibu yote na majibu machache ninayopata yanakuka 'unspoken'.Kwa hiyo bora niridhike na kidogo ninachoona na kutafuta kweli ndani yake.Maana kama nikishindwa katika hiki kidogo Basi ntashindwa hata kama nikioneshwa mbingu hadi mwisho wa anga.

Don't think all knowledge in this world was achieved through logical reasoning,Some things need a leep of faith and most of all humility.

Binafsi,kujifikiria mimi kama result ya bingbang au any other theory Ni kichekesho,because all I see is creation.

Ntakupa mfano mdogo.
Wewe uwe unatembea.Njiani ukakutana na jiwe au plastiki.Hautashtuka.utakutana na chuma hautashtuka.Sema ukakutana na Saa ya mkononi kwa Mara yako ya kwanza.Lazima utaichukua na kuiangalia.Saa hii Ina mishale ya chuma au plastic inatembea yenyewe baadae unagundua pia Ina betri ambayo ikiisha inabidi iwekewe nyingine.inajiendesha kwa umakini.

Je, itakuwa rahisi kumwamini mtu atakayekuambia kuwa Saa hiyo ni chuma na plastiki kwa mfano,zilijikusanya na baada ya muda zikageuka Saa? Au utamwamini mtu atakayekuambia hiyo Saa ilitengenezwa kwa ustadi mkubwa na mtu (au muumbaji wake) aliyekuwa anajua jinsi inatakiwa ifanye kazi?

Binafsi uumbaji ndilo jibu ninalolielewa zaidi kwa sababu nyingi sana.Nothing can change that in me.
Na ningependa kusema Mungu Ni Muumba wetu na siyo kama specimen unayoweza kupeleka laboratory na kuchunguza.
Kuamini au kutoamini uwepo wake Ni battle kati yako wewe na nafsi yako mpaka siku ya kufa kwako.Its not someone else's job to instill faith in you.Deep down inside you,you make a choice on what to believe or what to not believe.
Nashkuru kwakuwa umekiri mwenyewe kwamba huwezi kuthibitisha uwepo wa mungu, lakini umejaribu kutoa mifano ambayo bado haithibitishi kwamba mungu yupo

Mungu anatafutwa, how?
Kuna mtu alishawahi kumuona/kumsikia au kunusa harufu yake?
Unamtafutaje?
Mungu angekuwepo kusingekuwa na shaka juu ya uwepo wake, wote tungefahamu hivo, na kama ni dini basi ingekuwa moja.

Wewe ni mfuasi wa biblia, unazungumziaje uwepo wa dini zaidi ya 2000 ulimwenguni? Kila dini ina mungu wake na ina mafundisho yake na kila dini inaiona nyengine kama kituko...

Kutokujua origin ya mwadamu na ulimwengu umetoka wapi, ndipo ilipoanzia concept ya Almighty God na dini zikafuatia

Mungu/shetani/ jehanam/pepo vyote ni vitu ambavyo hamna mtu ambaye aliweza kuthibitisha kwamba vina exists watu wanapata delusions na hallucinations tu
 
Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Swali hili halijajibiwa.

Kuna wengi hata kulielewa hawajalielewa.
Kila kitu kinasimama na kusimamishwa na kanuni, hivyo hata Mungu yuko ktk kuzitii kanuni, nje ya hizo na Uungu pia unapotea. Kwahiyo, kuna mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya. Mungu hawezi kuwa muongo, hawezi kuvunja kanuni, ni mwenye haki na kinyume chake hawezi kufanya.

Mungu hakuumba vitu kama tunavyofikiri, kwamba kuwa kukawa tu simposimpo, vinadisi viumbe vyake uone jinsi vilivyo na complications zakutosha, na vinavyotegemeana. Haiwezekani, neno kuwa la kirahisi rahisi tu, litoe mimea yenye kutoa oxjen na wanyama kaboni, na kila moja imfae mwenzake.

Angalia na kulichunguza jua na majukumu yake ktk uhai, udongo na nutrients zake, samaki na bahari. Karibu kuwa mdadisi ktk kila jambo, utamuona tu.

Hizi complications za uumbaji, zote ziko kikanuni, mfano jua lisipotoka majani yanakufa, wanyama pia na uhai unakoma, ni kanuni hizi. Usipokula utakufa, ni kanuni ktk uumbaji.

Jibu, kwanini Mungu hakuumba ulimwengu mzuri zaidi? Kila alichokiumba ni chema na chenye kupendeza, ila hakijajitokeza tu kimeumbwa tena kikanuni, kanuni hizo za uumbaji ndizo zingeendeleza uzuri ule na wema ule wa mwanzoni, zilitakiwa zile kanuni zitiishwe umilele wote.

Mfn. Umenunua gari mpya, ukapewa garantii ya miaka 10 ya kudumu nalo, utengenezaji akakupa kajitabu cha maelezo juu ya hilo gari, usipoyafuata, halitadumu kwa miaka 10 na aliye lifanya lishindwe ni wewe si muundaji wa hilo gari.

Kila kitu kiko ktk kanuni. Sijui kama nimekujibu vyema.
 
Ameweza kuumba yote hayo kwasababu anao uwezo wa kuyazuia huwez kuumba then usiweze kuzuia. Kaumba mabaya cz anao uwezo wa kuyazuia na kaumba mazur cz anao uwezo wa kuwazui pia. Tengeneza ww baiskeli yako then uizuie usipate ajali km ukiweza mm ntakuwa mfuasi wako kwny hyo dini yako mpya
Mungu hakuwahi kuumba mabaya, mabaya yalikuwepo kabla ya uumbaji. Asili yetu ni ktk ubaya, kutokuwepo na uhai, ujuzi, giza nk.
 
Kamanina akili fupi kama za nguruwe, hiyo ni ishara kwamba Mungu wako mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote hayupo.

Kwa sababu angekuwepo,kwa ujuzi wake mwingi,upendowake mwingi na uwezowake mwingi, asingeumba kiumbe mwenye akili fupi.

Viumbe wenye akili fupi ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.
Ila we ni shida, hili ni jibu zuri sana kwa wanaojibu vibaya. Uko na busara sana Mkuu.
 
Hv mwalimu si huwa anawapenda wanafunzi wake ? Si mchoyo kwa wanafunzi wake anapenda wote mfaulu! Na mwalimu huyo huyo ndo anatunga mtihani na majibu anayajua. Hv kwann kwny mtihani asiweke majibu yote yaliyokuwa sahihi? Na ilihali anataka wote mfaulu! Plz naomba jibu
Huu si mfano wa Mungu na ulimwengu, hakuweka mitihani, ipo kiasili tu. Ndo asili ya uumbaji wenyewe. Ukishasema eti kaweka mitihani, unamaanisha kwamba hoja za al Watan juu hapo zina mashiko. Na kweli atakuwa amekosea kwakuwa alikuwa na uwezo wa kufanya vinginevyo.
 
Nashkuru kwakuwa umekiri mwenyewe kwamba huwezi kuthibitisha uwepo wa mungu, lakini umejaribu kutoa mifano ambayo bado haithibitishi kwamba mungu yupo

Mungu anatafutwa, how?
Kuna mtu alishawahi kumuona/kumsikia au kunusa harufu yake?
Unamtafutaje?
Mungu angekuwepo kusingekuwa na shaka juu ya uwepo wake, wote tungefahamu hivo, na kama ni dini basi ingekuwa moja.

Wewe ni mfuasi wa biblia, unazungumziaje uwepo wa dini zaidi ya 2000 ulimwenguni? Kila dini ina mungu wake na ina mafundisho yake na kila dini inaiona nyengine kama kituko...

Kutokujua origin ya mwadamu na ulimwengu umetoka wapi, ndipo ilipoanzia concept ya Almighty God na dini zikafuatia

Mungu/shetani/ jehanam/pepo vyote ni vitu ambavyo hamna mtu ambaye aliweza kuthibitisha kwamba vina exists watu wanapata delusions na hallucinations tu
Kitu kilekile mkuu.
Vilevile Mungu angekuwa hayupo leo tusingekuwa tunabishana juu ya uwepo wake.
Ila anyway
Kitabu cha Ecclesiastes chapter 3 from verse 21,the philosopher amesema ' how can anyone be sure that a mans spirit goes upwards while an animal's spirit goes down into the ground?...There is no way for us to know what will happen after we die.'

The fact kuwa Hamna mtu mwenye proof ya kinachotokea baada ya kufa( zaidi ya,of course,physically kiumbe anaoza na kubaki mifupa)inaonesha bado binadamu hatujui chochote kuhusu tunapotoka au tunapokwenda.Kwa hiyo watu wanatangatanga kutafuta cha kuamini.'Useless' anasema the philosopher.

Mimi nimechagua kuamini uwepo wa Mungu.Lini alituumba au alituumba vipi,na kwa muda gani sijui na sijali.Cause its useless.

Kwahiyo kama wote tunaoamini na wasioamini uwepo wa Mungu hatujui kinachotokea baada ya kufa,Ni bora tubaki na Imani zetu na tu enjoy maisha yetu ya hapa duniani kama the philosopher(au mfalme Suleiman) alivyosema.

Ila binafsi my choice to believe in God's existence and life after death iko palepale.Kama nikikuta well and good,kama Hamna Basi, kama nyerere alivyosema.

Tuache ego wanadamu,sometimes tujifunze kuwa wadogo.
Yesu alisema Mambo makubwa yanafunuliwa kwa watu wakawaida Sana.
Why? Binadamu akishapata knowledge (inayoonekana Ni kilakitu kwa wanadamu) anaona Basi anajua kilakitu na atataka a question kila kitu based on his or her knowledge na logic thinking.

Anyway,Idharau Biblia yangu all you want,but in it ninapata direction ya maisha.No one is better than anyone.Wote tutakufa. Our love, hates,passions will die with us.

Ecclesiastes 12:1 So remember your Creator while you are still young..
 
Huu si mfano wa Mungu na ulimwengu, hakuweka mitihani, ipo kiasili tu. Ndo asili ya uumbaji wenyewe. Ukishasema eti kaweka mitihani, unamaanisha kwamba hoja za al Watan juu hapo zina mashiko. Na kweli atakuwa amekosea kwakuwa alikuwa na uwezo wa kufanya vinginevyo.
Sawa bashite! Naona na ww akili zako finyu km tundu la sindano
 
Mkuu Synthesizer Unaposema mshahara wa dhambi ni mauti na kifo/mauti ukasema ni totally destruction una maanisha hakuna maisha baada ya kifo?? Mauti na kuzimu nitakuelewesha ila nijibu maswali yangu kwanza.

Mkuu Loeb, ukweli ni kwamba, kulingana na Biblia, hakuna maisha baada ya kifo (ukiondoa ufufuo). Zipo sehemu kadhaa ndani ya Biblia zinaeleza hili wazi;
  • Ukianza na kitabu cha Mwanzo, Mungu alisema wazi kwa Adamu kwamba angekufa na kurudi mavumbini alikotolewa. Kabla Adam hajaumbwa hakuwapo, na baada ya kufa asingekuwapo tena, angerudi kuwa vumbi (Mwanzo 3:19)
  • Kitabu cha Muhubiri kinafafanua kwamba hakuna tofauti kati ya kifo cha mnyama kama panya, mbwa, ng'ombe, tembo, nk, na wanadamu. Kinasema wazi kwamba wote wanakufa sawa, wote wanarudi mavumbini. Na suala la kusema wanadamu wakifa roho inatoka inaenda mahali, nani amekueleza (Biblia inauliza sio mimi). Kwa hiyo inamaanisha kwamba kama utasema kuna mahali roho za watu zinaenda wanapokufa basi pia roho za paka na panya zinaenda huko - jambo ambalo halipo (Mhubiri 3:19-21)
  • Kitabu cha Muhubiri kinazidi kusisitiza kwamba mtu anapokufa hawi tena na fahamu, hisia na mawazo yake hutoweka - hivyo hawezi kuhisi furaha au chuki, raha au taabu. Kumbuka watu wa mwili wa roho wana hisia, hivyo ikimaanisha ukifa wala hupati mwili wa roho (Mhubiri 9:5-6)
  • Yesu alitamka wazi kwamba watu waliokufa wako kaburini, waliotenda wema kwa ufufuo wa uzima na waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu (kumbuka hakusema wako mahali wanaishi eidha kwa taabu au raha, alisema wako kaburini). Hivyo watu waliokufa wako kaburini - au kule walikoishia, baharini nk. (Yohana 5:28-29)
Kwa hiyo, kwa ujumla, mtu akifa anaenda kaburini, na kutegemea na uhusiano aliokuwa nao na Mungu kabla hajafa, anasubiri kufufuliwa au la. Akiwa kaburini, anakuwa hajui lolote linalooendelea, hana mawazo wala hisia, na hasikii raha wala taabu. Hivyo hata msemo watu waliozoea kusema kwamba "Mungu mweke mahali pema peponi" ni pure rubbish. Mtu akifa hahitaji kuwa pema wala pabaya kwa sababu hana hisia za kujua yuko pema au pabaya. Kumwambia Mungu mweke mahali pema peponi ni jambo lisilo na maana.

Jiulize swali - ikiwa ni kweli watu wema wakifa wanaenda sehemu fulani nzuri kama thawabu, sasa kuna haja gani ya kuwa na ufufuo? Je Mungu atafufua watu walio tayari katika sterehe ya milele kwa sababu walitenda mema? Kama watu wakifa wanapata mwili wa roho na kwenda kuteswa au kuishi milele - itamaanisha fundisho la ufufuo katika Biblia ni la uongo, kwa kuwa hakuna haja tena ya ufufuo!

Kwa hiyo Mkuu, mtu akifa hana tena hisia wala mawazo, inakuwa kama kulala usingizi fofofo bila hata kuota ndoto. Eidha subiri ufufuo, kama ulikuwa mtenda mema, au ndio hivyo, kwa heli ya mshahara wa dhambi - hutaishi tena!
 
Jamaa ana akili za bata kunya kunya ovyo
Hilo nalo linaonyesha hakuna Mungu.

Mungu angekuwepo asingeumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na wenye akili za bata kunya ovyo ovyo.
 
Sawa bashite! Naona na ww akili zako finyu km tundu la sindano
Asante Mkuu, ila kilimo cha akili ni kwenye kufikiri na kupambanua mambo, kukariri hata kasuku kukaririshwa ujue?!
 
Aape na ile maana ya jehanamu, kifo cha pili.
 
Kila kitu kinasimama na kusimamishwa na kanuni, hivyo hata Mungu yuko ktk kuzitii kanuni, nje ya hizo na Uungu pia unapotea. Kwahiyo, kuna mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya. Mungu hawezi kuwa muongo, hawezi kuvunja kanuni, ni mwenye haki na kinyume chake hawezi kufanya.

Mungu hakuumba vitu kama tunavyofikiri, kwamba kuwa kukawa tu simposimpo, vinadisi viumbe vyake uone jinsi vilivyo na complications zakutosha, na vinavyotegemeana. Haiwezekani, neno kuwa la kirahisi rahisi tu, litoe mimea yenye kutoa oxjen na wanyama kaboni, na kila moja imfae mwenzake.

Angalia na kulichunguza jua na majukumu yake ktk uhai, udongo na nutrients zake, samaki na bahari. Karibu kuwa mdadisi ktk kila jambo, utamuona tu.

Hizi complications za uumbaji, zote ziko kikanuni, mfano jua lisipotoka majani yanakufa, wanyama pia na uhai unakoma, ni kanuni hizi. Usipokula utakufa, ni kanuni ktk uumbaji.

Jibu, kwanini Mungu hakuumba ulimwengu mzuri zaidi? Kila alichokiumba ni chema na chenye kupendeza, ila hakijajitokeza tu kimeumbwa tena kikanuni, kanuni hizo za uumbaji ndizo zingeendeleza uzuri ule na wema ule wa mwanzoni, zilitakiwa zile kanuni zitiishwe umilele wote.

Mfn. Umenunua gari mpya, ukapewa garantii ya miaka 10 ya kudumu nalo, utengenezaji akakupa kajitabu cha maelezo juu ya hilo gari, usipoyafuata, halitadumu kwa miaka 10 na aliye lifanya lishindwe ni wewe si muundaji wa hilo gari.

Kila kitu kiko ktk kanuni. Sijui kama nimekujibu vyema.
Mungu akilazimika kutii kanuni hana uwezo wote.

Anakuwa na mipaka iliyowekwa na kanuni hizo.

Unakubali hilo?

Hujajibu kwa nini huyo Mungu wenu ana contradictions?
 
Mungu hakuwahi kuumba mabaya, mabaya yalikuwepo kabla ya uumbaji. Asili yetu ni ktk ubaya, kutokuwepo na uhai, ujuzi, giza nk.
Mabaya yalikuwapo kabla ya uumbaji yalitokea wapi?

Kuna ambacho hakijatokea kwa Mungu?

Kama kipo, ni kweli Mungu ni muumba wa yote?

Kama hakipo, utasemaje Mungu hakuumba mabaya?

Mungu alipouumba ulimwengu, aliweza au hakuweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kutokea?
 
Hilo nalo linaonyesha hakuna Mungu.

Mungu angekuwepo asingeumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na wenye akili za bata kunya ovyo ovyo.
Ww na bi zuhra si waislam,sasa inakuaje humuamin mungu ,ebu nambie lucifer
 
Nani kakuambia sisi waislam?

Tatizo lako unakariri na ku assume sana.

Bi Zuhra umemkacha kuja kumuona dinner, ungekuja ungefurahi na roho yako.

Halafu ukiendelea kuniita Lucifer sikujibu.
 
Back
Top Bottom