Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Mkuu Synthesizer Unaposema mshahara wa dhambi ni mauti na kifo/mauti ukasema ni totally destruction una maanisha hakuna maisha baada ya kifo?? Mauti na kuzimu nitakuelewesha ila nijibu maswali yangu kwanza.
 
That is neither here nor there.

What is your point?

Unakataa kwamba chumi zilizoendelea zina idadi kubwa ya wasioamini kuwepo kwa Mungu?

Nani kabisha hizo habari za industrial revolution etc? Kwa nini ni muhimu wewe kuzitaja katika mjadala huu?

Unaongelea sababu zikizofanya chumi zikizoendelea kuwa zilivyo kama mimi sizijui, kwa nini inafikiri sizijui?

Unakubali au unakataa kwamba chumi zikizoendelea zina idadi kubwa ya wasioamini Mungu? Hilo ndilo simuala la msingi, kwa nini una deviate?
Lucifer mdg njoo basi tuyazungumze mbn unajibanabana au unaniogopa,yani nakupa chance uje hutaki,wenzako wanaipigania
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
Acha kumpiga mkwara mtoa mada God is very fair ndo mana kamruhusu jamaa kusema alichosema
 
There are billions of people who loves God and Jesus Christ,kama vipi potezea tu
 
There are billions of people who loves God and Jesus Christ,kama vipi potezea tu
Kwa nini tupotezee wakati tumeletewa jambo la uongo?

Watu mabilioni wakila mavi utaona kula mavi ni sawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom