Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.
Tatizo ni mibange uliyoanza utotoni, ila kweli ni bora usingezaliwa kwani hata historia yako baada ya kufa (sio kufariki)
Itaandikwa kama ifuatavyo 'alizaliwa, akazurura na amekufa'
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.

Nilivyoangalia kwa haraka haraka, nimegundua kwamba wewe umeathiriwa na mafundisho ya uongo. Hususan fundisho la moto wa milele. Maandiko hayasemi muovu ataungua au kuchomwa milele. Bali yanasema nafsi ifanyayo dhambi ndiyo itakayokufa. Na hilo linapatana na akili, kwa maana wazia umri wa mtu kuushi ni miaka 70, 80, 90 wengine 100+. Sasa umefanya dhambi kwa miaka hiyo ambayo umeishi. Lkn adhabu yake ni milele. Kweli hapo kuna haki?? Hiyo si sawa. Fundisho hilo la moto limepotoshwa kwa lengo la kuwatisha watu waepuke dhambi, jambo ambalo si sawa.

Fundisho lingine lililo kuathiri na pia kuathiri wengine wengi. Ni lile la kusema, kila jambo baya linalo mpata binadamu ni mipango ya Mungu. Hili kama lile la hapo juu, linajaribu kumfanya Mungu aonekane ni mkatiri. Kitu ambacho si sahihi, maana maandiko yanasema, "mtu anapopatwa na mabaya asiseme ni Mungu ananijaribu, maana Mungu hapendi kujaribiwa na maovu, lkn pia yeye hamjaribu yeyote. (Yakobo 1:13). Hili neno liko moja kwa moja, pia linaeleweka.
Hivyo shida yako iko kwa yale mafundisho ya uongo. Jaribu kuchimba sana biblia utapata maana.
 
Mleta uzi alikuwa na hoja sana... Ila watu wengi wamemjibu utafikiri kakosea sana,,, kumbe alikuwa tu anauliza....

Wengi wetu tumejawa uoga tu,, kama mtu anaweza kumjibu alete majibu na sio kumtishia...

Napoleone ameeleza fresh sana kuhusu nguvu ya asili.
 
God is omnipotent and benevolent, is a contradiction, He couldn't allow evil!
 
Back
Top Bottom