Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Katoka kwa lucifer huyoSawa,niambie umetoka wapi mwenzetu
Katoka kwa lucifer huyoSawa,niambie umetoka wapi mwenzetu
Sijawahi kuona mtu mbishi kama wwKama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Swali hili halijajibiwa.
Ukibishana nae huyo hutomaliza anaonekana hakubali kushindwaUmeshasema anaumba atakavyo sasa kwanini umpangie...?
Kwani wewe ndo umemwambia akuumbe uwe binadamu?si ulikuwa shahawa tu.
Mm nnawaswas na izo akili zako kama si fupi basi ndunyuMungu angekuwepo asingeumbakiumbe mwenye akili fupi.
UkisemaMungu yupo na mimi ni kiumbe wake halafu nina akili fupi,una ji contradict mwenyewe.
Jamaa ana akili za bata kunya kunya ovyoUnaogopa challenge sasa?
Mtu asiyeogopa anaialika challenge, anasema Quran imejipinga wapi? Tuonyeshe.
Wewe hujasema hilo. Unaogopa nini?
Mimi nnawaswas unamatatizo ya akili unataka tiba mbadalaUnabisha? Quran haijipingi?
HahahahahhhaEbu kuwa straight bro fulani ndo kitu gani? Nina experiment yangu nataka kuifanya nahisi nmekupata wa kukufanyie majaribio ebu njoo pm tuongee
unataka ukampime ubongo wake

Hahahahaa bora hata uyo bata anaakili yy sjui labda za mjusiJamaa ana akili za bata kunya kunya ovyo
Jf inasaidia sn maana nilikuwa nawaza mtu wa kumfanyia majaribio yangu ya kisayansi naona nishampata humu asante mungu ww ndo kila kitu kwanguHahahahahhha![]()
![]()
![]()
unataka ukampime ubongo wake
![]()
![]()
![]()
HahahahaJf inasaidia sn maana nilikuwa nawaza mtu wa kumfanyia majaribio yangu ya kisayansi naona nishampata humu asante mungu ww ndo kila kitu kwangu
mchukue tu bure nahis hatakua na tabu yytNishamwambia aje pmHahahaha![]()
![]()
mchukue tu bure nahis hatakua na tabu yyt
Akija uniite tumfanyie uchunguzi pmj ktk kile chumba chetu maalum,chumba cha mijusiNishamwambia aje pm
Kwanini unadhani huo ndio ukweli?Mi siamini kama ipo jehanamu au siku ya mwisho. Ni uongo tu wa wazungu, ukifa utazaliwa tena
Usijali nitakwambia hawa watu wenye akili fupi km hz za mikia ya mbuzi huwa nao wanafaida zao





Kama wazungumzia waganga wa kienyeji sawa.,kama ni Mungu umekosea sana .Whatever....
1....jehanamu iliumbwa kwa ajili ya ibilisi na malaika wake, ila wewe binadamu unapofanya matendo ya ibilisi yaani kuungana na ibilisi nawe unakuwa sehemu yake ibilisi....kumbuka hao malaika hata huyo ibilisi mwenyewe walikuwa malaika wa Mungu
Memory zinaweza kuwepo sometimez. Maana mimi kuna mtu niliwahi kutana nae wote wawili tuna memory ya kuwa tulishawahi kutana somewhere na ni.mara kwa mara na ndio maana tukawa tunashangaana but tulikaa chini kujaribu kukumbuka niwapi tulikutana huwezi amini hatukuwahi kupata. But moyoni kila.mtu anaamini kuwa tulifahamiana sehemu but hatukuwahi kupata jibu kabisa mpaka kesho sehemu alizoishi na kukulia ni tofauti kabisa na mimi yaani ni vigumu kumeet....basi ikaishia hivyo.....Mm pia mara nyingi nimekuwa nikiamini kuwa ukifa unazaliwa tena kwa mtu mwingne japo utakuwa hujitambui kuwa uliwahi ishi duniani,, ila hayo ni mawazo yangu naamini kuwa MUNGU anajua nisiyojua maana yeye ndo muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo