Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Lazima uone hvyo kwasababu akili zako hazivuki hata barabara. Pole sana ila mungu wangu anamakusudio yake kukuumba hvyo na akili zako za usiku
Akili zangu kutoweza kuvuka barabara ni ushahidi kwamba Mungu wenu hayupo.

Angekuwepo asingeumba ulimwengu ambao una watu wenye akili ndogo hivyo.
 
Ninachojua ni kwamba,habari ya kwamba dunia imeumbwa na Mungu ni uongo.

Kwa sababu ina clear contradiction.

Habari ya kwamba dunia imeumbwa na Mungu ni sawa na mtu akwambie square root ya mbili ni kumi.

Hata kama hujui jibu la swali, square root ya mbili ni nini, lakini ukijua ukweli wa msingi tu kwamba square root ya namba haiwezikuwa kubwa kuliko hiyo number, utajua kwamba kumi si jibu lakweli.

Hata kama jibu la kweli hulijui.

Sasa ukijua kwamba ukiona contradiction (mambo yanayojipinga) katika habari, unajua kwamba hiyohabari ina uongo, na ukaona habari ya kuwepo kwa Mungu ina contradiction (Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ni contradiction, kwa sababu Mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote asingependa kuona viumbe wake wanateseka hata kidogona angeumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani) ukiona ulimwengu ulivyona Mungu mnavyomsema alivyo kuna contradiction, ni kwa sababu habari ya kuwepo kwa Mungu huyo ni uongo.
Sijakwambia mungu ndo kaumba dunia,nimekuululiza kwa hyo dunia imetokea tu
 
Kunapinga habari ya kwamba Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Angekuwepo Mungu huyo, kungekuwa hakuna mabaya yoyote yanayowezekana kuwepo.

Kuwepo kwa mabaya ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
Mabaya lazma yawepo ili ugundue mazur! Lazima ule ndo uwende kunya
 
Kunapinga habari ya kwamba Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Angekuwepo Mungu huyo, kungekuwa hakuna mabaya yoyote yanayowezekana kuwepo.

Kuwepo kwa mabaya ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
b0f00789192dd0ad81b5192a6253c522.jpg
8cd212bdca625fde754207dcbdc45d3e.jpg

360acffcc759a07083597147bfe44e34.jpg
 
Sijakwambia mungu ndo kaumba dunia,nimekuululiza kwa hyo dunia imetokea tu
Suala hilo nimeshaliongelea, nimekueleza kwamba hata nikikwambia sijui dunia ilivyotokea, hilo halimaanishi kwamba ni uthibitisho kwamba imeumbwa na Mungu.

Kwa sababu dunia hii yenye kuruhusu maovu kuumbwa na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ni contradiction kama square root ya mbili kuwa kumi.

Kwa sababu square root ya mbili ni lazimaiwe ndogo kuliko mbili. Sasa ukiniambia ni kumi, hata kama sijui jibu la square root ya mbili ni nini, nitajua kumi si jibu sahihi.

Mpaka hapo ushaelewa?
 
Akili zangu kutoweza kuvuka barabara ni ushahidi kwamba Mungu wenu hayupo.

Angekuwepo asingeumba ulimwengu ambao una watu wenye akili ndogo hivyo.
Km asingeumba hvyo basi asingekuwa na uwezo! Wazungu huwatumia watu wenye akili km zenu ili kuwafanyia majaribio ya mambo mbali mbali huoni hiyo ni moja ya faida ya uwepo wenu?
 
Km asingeumba hvyo basi asingekuwa na uwezo! Wazungu huwatumia watu wenye akili km zenu ili kuwafanyia majaribio ya mambo mbali mbali huoni hiyo ni moja ya faida ya uwepo wenu?
Kwa hiyo Mungu alishurutika kuumba ulimwengu wa aina fulani tu?
 
Wewe ndiye huna ulijualo kwa sababu hujui kwamba hutakiwi kupinga kitu ambacho hata hujataka kupata ufafanuzi wake.
Unataka kuichallenge quran.wakati wenzio wameshindwa.jipange
 
It's OK to be angry with God. He can take that, I guess.

Keep searching brother. Be open to new ideas. No one can explain to you the idea of God. The person who has ability to answer that question is you. Only you.

Me neither I don't have clue of most of the questions you have asked. I know with time I will learn everything I need to know.

Live peacefully and simple

Be happy
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Sasa walioko nchi za barafu wakisikia watachomwa moto si ndo watafurahia coz maisha yao joto linatafutwa?
 
Unataka kuichallenge quran.wakati wenzio wameshindwa.jipange
Unaogopa challenge sasa?

Mtu asiyeogopa anaialika challenge, anasema Quran imejipinga wapi? Tuonyeshe.

Wewe hujasema hilo. Unaogopa nini?
 
Back
Top Bottom