msausoghonoi
Member
- Mar 13, 2017
- 17
- 23
Ila kuna mambo magumu sana nikitamani tu tayari nimezini nakuwa kundi moja na shetani muovu wa maovu yote duniani mmmmmmmh
Tunapoteza muda Wetu au wako?Mnapoteza muda tu kusali na kuomba vitu ambavyo havipo
Mbona unajipinga mwenyewe.haueleweki unataka nini.wewe unaona mungu kajipendelea kuwa na uwezo mkubwa na nguvu.nimekuuliza unataka mungu akupe uwezo gani alionao ili uamini kwamba yupo?Nilitaka habari za huyo Mungu ziwe na logical consistency.
Unajua logical consistency ni nini?
We huoni huwo kuwa ni uwezo? Km kaweza kuumba mabaya na mazuri yote yakawezekana bado hujaona kuwa huwo ni uwezo tosha? Okay kwa kili zako fupi km mkia wa nguruwe usiyeweza hata kufikiria hv hujiulizi kwann mzungu ameweza kutengeneza chombo cha usafiri kurahisisha usafiri lkn amashindawa kuzuia ajali yaani kwa akili zako fupi hapo utakuwa hujaelewa bado tu ni hv ameweza kutengeneza jambo zuri lkn ameshindwa kuzuia jambo baya lisitokee! Amini amini nakwambia ukiwa na akili fupi km mkia wa sungura huwezi kutembea kwa madaido huku ukitingisha mkia utaishia kurukaruka km umekanya kaa la motoPost hii haijajibu swali hili.
Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Swali hili halijajibiwa.

Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote asingeweza kuumba kiumbe chochote ambacho kina uwezo mdogo kuliko yeye.Mbona unajipinga mwenyewe.haueleweki unataka nini.wewe unaona mungu kajipendelea kuwa na uwezo mkubwa na nguvu.nimekuuliza unataka mungu akupe uwezo gani alionao ili uamini kwamba yupo?
Unafahamukwamba swali nililokuuliza hujalijibu? Nina shaka kamahata kulielewa umelielewa.We huoni huwo kuwa ni uwezo? Km kaweza kuumba mabaya na mazuri yote yakawezekana bado hujaona kuwa huwo ni uwezo tosha? Okay kwa kili zako fupi km mkia wa nguruwe usiyeweza hata kufikiria hv hujiulizi kwann mzungu ameweza kutengeneza chombo cha usafiri kurahisisha usafiri lkn amashindawa kuzuia ajali yaani kwa akili zako fupi hapo utakuwa hujaelewa bado tu ni hv ameweza kutengeneza jambo zuri lkn ameshindwa kuzuia jambo baya lisitokee! Amini amini nakwambia ukiwa na akili fupi km mkia wa sungura huwezi kutembea kwa madaido huku ukitingisha mkia utaishia kurukaruka km umekanya kaa la moto![]()
Bado humjui Mungu ndugu, huzijui kweli nyingi zimuhusuzo, na maarifa juu yake pia bado. Hayo yote yalikuwa ni mashitaka, kipindi cha kale hata chq mitume na manabii unaowaheshimu sana, hawakuwa wanazijua kweli nyingi za kimbingu na maarifa yao juu ya hizo kweli yalikuwa yako chini sana.Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.
1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)
2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?
3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?
4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.
5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.
6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.
Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.
So im just keeping it real.
Bado humjui Mungu ndugu, huzijui kweli nyingi zimuhusuzo, na maarifa juu yake pia bado. Hayo yote yalikuwa ni mashitaka, kipindi cha kale hata chq mitume na manabii unaowaheshimu sana, hawakuwa wanazijua kweli nyingi za kimbingu na maarifa yao juu ya hizo kweli yalikuwa yako chini sana.
Kwasasa nyingi ziko open, zitafute uzione. Mungu hawezi kuwa mbaya kihvyo, hata mwenyewe ningemchukia pamoja na huo uiitao moto au jehanamu kuwepo, KWELI HAZIKO HIVYO, Nampenda Mungu.
Ameweza kuumba yote hayo kwasababu anao uwezo wa kuyazuia huwez kuumba then usiweze kuzuia. Kaumba mabaya cz anao uwezo wa kuyazuia na kaumba mazur cz anao uwezo wa kuwazui pia. Tengeneza ww baiskeli yako then uizuie usipate ajali km ukiweza mm ntakuwa mfuasi wako kwny hyo dini yako mpyaHujajibu swali.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Hivi.wewe umeumbwa na nani...?Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote asingeweza kuumba kiumbe chochote ambacho kina uwezo mdogo kuliko yeye.
Kufanya hivyo kungekuwa ni kujipendelea yeye huyo Mungu na kumnyima uwezo wote huyo kiumbe.
Mungu mwenye upendo wote hana choyo, kuumba kiumbe chenye ukomo wa uwezo wakati Mungu hakushindwa kuumba kila kiumbe kiwe kama yeye Mungu ni uchoyo.
Kwa hiyo,ukweli kwamba hatuna uwezo wa kimungu, tunalazimika kula,kunya,kufanya kazi, kufa etc unadhihirisha kwamba huyo Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Ni hadithi tu.
Habari za kuwepo kwa Mungu wenu hazina logical consistency.
Ndo maana nikasema una akili fupi km za nguruweUnafahamukwamba swali nililokuuliza hujalijibu? Nina shaka kamahata kulielewa umelielewa.
Hujaelewa swali.Ameweza kuumba yote hayo kwasababu anao uwezo wa kuyazuia huwez kuumba then usiweze kuzuia. Kaumba mabaya cz anao uwezo wa kuyazuia na kaumba mazur cz anao uwezo wa kuwazui pia. Tengeneza ww baiskeli yako then uizuie usipate ajali km ukiweza mm ntakuwa mfuasi wako kwny hyo dini yako mpya
Kwa nini swali liwe "nani" ?Hivi.wewe umeumbwa na nani...?
Ila umekubari kuwa ameweza ee asante kwa kukubari hilo nadhani sasa hv unaadha kuutafuta mkia wa swalaHujaelewa swali.
Sijauliza kama kaweza au hakuweza.
Nimeuliza kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezowa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
KamaMungu anawapenda viumbe wake, ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kabisa na ujuzi wa kfanya hivyo.
Aumbe ulimwengu ambaomabaya yanawezekana kwa sababu gani?
Kamanina akili fupi kama za nguruwe, hiyo ni ishara kwamba Mungu wako mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote hayupo.Ndo maana nikasema una akili fupi km za nguruwe
Hujajibu hoja, unarukia viroja.Ila umekubari kuwa ameweza ee asante kwa kukubari hilo nadhani sasa hv unaadha kuutafuta mkia wa swala
Sawa,niambie umetoka wapi mwenzetuKwa nini swali liwe "nani" ?
Ukishaweka "nani" tayari ushanipangia jibu, kuna jibu lako unalotaka.
Kwanini swali liwe "nani" ?
Mbona unajifunga wigo?
Hata nikikwambia sijui, hilo halimanishi kwamba Mungu yupo.Sawa,niambie umetoka wapi mwenzetu