Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Hujaelewa swali.

Sijauliza kama kaweza au hakuweza.

Nimeuliza kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezowa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

KamaMungu anawapenda viumbe wake, ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kabisa na ujuzi wa kfanya hivyo.

Aumbe ulimwengu ambaomabaya yanawezekana kwa sababu gani?
Hv mwalimu si huwa anawapenda wanafunzi wake ? Si mchoyo kwa wanafunzi wake anapenda wote mfaulu! Na mwalimu huyo huyo ndo anatunga mtihani na majibu anayajua. Hv kwann kwny mtihani asiweke majibu yote yaliyokuwa sahihi? Na ilihali anataka wote mfaulu! Plz naomba jibu
 
Mungu ameumba yote kwa upendo. Alijua dunia itaanguka dhambini na alijua shetani ataleta uharibifu mwingi lakini hilo halikumzuia asiumbe dunia na viumbe vyote. Alifanya hivo kwa upendo na yeyote anaempenda Mungu tayari njia iko wazi, yupo Yesu mwana wake aliemwaga damu yake ili kila anaeamini aingie mbinguni bila hukumu. Lakini kwa yeyote anaekataa ataunguzwa pamoja na dunia kwasababu umeipenda mwenyewe. Ule moto si wa milele ni wa kuoshea dunia maanake ukiungua hautakuwa hai milele zote. Baada ya moto kuosha na kubaki majivu uumbaji mzuri utarudishwa km ilivo wakati wa eden. Wale watakatifu walionyakuliwa watarudishwa ktk eden mpya, dunia mpya isiyo na jua kali, baridi, wala hakuna kifo tena, hata haitakwepo jani la mti litakalonyauka pote ni furaha tupu. Mungu atawatembelea watu wake wazi wazi km alivokuwa anafanya kwa kina Adam kila jioni aliwatembelea na kufurahi nao afu baadae anarudi ktk ikulu yake.
 
Hata nikikwambia sijui, hilo halimanishi kwamba Mungu yupo.

Mtu kutokujua square root ya mbili haimaanishi jibu lake ni kumi.

Mungu wenu hana logical consistency.

Kwa sababu ni wa uongo.
Sawa,nimegundua upo.kwa ajili ya kubishana.na hauelewi unachotaka.na kukataa kwako kuwa mungu hayupo.hakuhalalishi kuwa hayupo.jitafakari umetoka wapi,wewe ni nani,kwanini ni binadamu wala sio mbuzi,kwanini unapumua,una kula n.k.bila shaka yupo anayekuwezesha.
 
Hv mwalimu si huwa anawapenda wanafunzi wake ? Si mchoyo kwa wanafunzi wake anapenda wote mfaulu! Na mwalimu huyo huyo ndo anatunga mtihani na majibu anayajua. Hv kwann kwny mtihani asiweke majibu yote yaliyokuwa sahihi? Na ilihali anataka wote mfaulu! Plz naomba jibu
Unarudia kosa lile lile alilofanya mwenzako hapo juu la kumfananisha Mungu na rais.

Mungu mnasema ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mwalimu ana ujuzi wote,uwezo wote na upendo wote?

Utamfananishaje Mwalimu huyo na Mungu?

Unatakakufanya hesabu za cross multiplication upande mmoja una namba za kawaida na upande mwingine una infinity?

Utaweza kutoa jibu la maana hapo?

Unaelewakwamba kanuni ya kufananisha inakutakaufananishe vinavyolingana na kufananishika?
 
Sawa,nimegundua upo.kwa ajili ya kubishana.na hauelewi unachotaka.na kukataa kwako kuwa mungu hayupo.hakuhalalishi kuwa hayupo.jitafakari umetoka wapi,wewe ni nani,kwanini ni binadamu wala sio mbuzi,kwanini unapumua,una kula n.k.bila shaka yupo anayekuwezesha.

Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Swali hili halijajibiwa.
 
Cool down bro! Kuwepo na viumbe vyenye akili fupi ni uthibitisho tosha kuwa yupo na ashindwi kwenye kila jambo ndo maana anaumba atakavyo angetaka hata ww angekuumba sisimizi ungeishia kuishi kwny mashimo tu ila kwakuwa anakupenda ndo maana akakuumba binadamu. Ebu shukuru basi. Hata hzo akili fupi ulizokuwa nazo anaweza kuziongeza
 
Unarudia kosa lile lile alilofanya mwenzakohapojuu la kumfananisha Mungu na rais.

Mungu mnasema ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mwalimu ana ujuzi wote,uwezo wote na upendo wote?

Utamfananishaje Mwalimu huyo na Mungu?

Unatakakufanya hesabu za cross multiplication upande mmoja una namba za kawaida na upande mwingine una infinity?

Utaweza kutoa jibu la maana hapo?

Unaelewakwamba kanuni ya kufananisha inakutakaufananishe vinavyolingana na kufananishika?
Mungu anatoa mifano mdgo ya uwepo wake! Hata ww hapo ulivyoumbwa ni uthibitisho tosha kuwa yy yupo. Lkn ndo maana nikasema ww akili zako fupi bdo hujajibu swali langu hapo juu
 
Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Swali hili halijajibiwa.
Umeshasema anaumba atakavyo sasa kwanini umpangie...?
Kwani wewe ndo umemwambia akuumbe uwe binadamu?si ulikuwa shahawa tu.
 
Mungu anatoa mifano mdgo ya uwepo wake! Hata ww hapo ulivyoumbwa ni uthibitisho tosha kuwa yy yupo. Lkn ndo maana nikasema ww akili zako fupi bdo hujajibu swali langu hapo juu
Mungu angekuwepo asingeumbakiumbe mwenye akili fupi.

UkisemaMungu yupo na mimi ni kiumbe wake halafu nina akili fupi,una ji contradict mwenyewe.
 
Umeshasema anaumba atakavyo sasa kwanini umpangie...?
Kwani wewe ndo umemwambia akuumbe uwe binadamu?si ulikuwa shahawa tu.
Sijampangia, naangalia habari kamaina uongo.

Naiona habariya huyu Mungu kuwapo ni ya uongo.

Kwa sababu haina logical consistency.

Ina contradiction.

Inajipinga yenyewe.

Hadithi ya kuwepoMungu inajipinga yenyewe kabla hata sijampinga.
 
Unataka kusema dunia imetokea tu.
 
Katubu bro na uendelee kumpenda mungu
Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Swali hili halijajibiwa.
 
Mungu angekuwepo asingeumbakiumbe mwenye akili fupi.

UkisemaMungu yupo na mimi ni kiumbe wake halafu nina akili fupi,una ji contradict mwenyewe.
Kuumbwa kwa watu wa dizain yenu ni uthibitisho tosha kuwa yy anaweza na ashindwi kwa jambo lolote kwasababu mnakuwa na faida zenu
 
Sijampangia, naangalia habari kamaina uongo.

Naiona habariya huyu Mungu kuwapo ni ya uongo.

Kwa sababu haina logical consistency.

Ina contradiction.

Inajipinga yenyewe.

Hadithi ya kuwepoMungu inajipinga yenyewe kabla hata sijampinga.
Lazima uone hvyo kwasababu akili zako hazivuki hata barabara. Pole sana ila mungu wangu anamakusudio yake kukuumba hvyo na akili zako za usiku
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
PM Majaliwa, nilikwambia mimi huwezi kuzuia viroba kwa 100%
 
Unataka kusema dunia imetokea tu.
Ninachojua ni kwamba,habari ya kwamba dunia imeumbwa na Mungu ni uongo.

Kwa sababu ina clear contradiction.

Habari ya kwamba dunia imeumbwa na Mungu ni sawa na mtu akwambie square root ya mbili ni kumi.

Hata kama hujui jibu la swali, square root ya mbili ni nini, lakini ukijua ukweli wa msingi tu kwamba square root ya namba haiwezikuwa kubwa kuliko hiyo number, utajua kwamba kumi si jibu lakweli.

Hata kama jibu la kweli hulijui.

Sasa ukijua kwamba ukiona contradiction (mambo yanayojipinga) katika habari, unajua kwamba hiyohabari ina uongo, na ukaona habari ya kuwepo kwa Mungu ina contradiction (Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ni contradiction, kwa sababu Mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote asingependa kuona viumbe wake wanateseka hata kidogona angeumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani) ukiona ulimwengu ulivyona Mungu mnavyomsema alivyo kuna contradiction, ni kwa sababu habari ya kuwepo kwa Mungu huyo ni uongo.
 
Kuumbwa kwa watu wa dizain yenu ni uthibitisho tosha kuwa yy anaweza na ashindwi kwa jambo lolote kwasababu mnakuwa na faida zenu
Kunapinga habari ya kwamba Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Angekuwepo Mungu huyo, kungekuwa hakuna mabaya yoyote yanayowezekana kuwepo.

Kuwepo kwa mabaya ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Back
Top Bottom