Hujajibu uliyoulizwa.UNA MASWALI MAZURI SANA.
tatizo lako unakuwa mzito kuelewa, so hata ukijibiwa sioni kesho kwako, so keep asking...!!
Chumi zilizoendelea (Northern Europe) zina wingi wa watu wasioamini kuwepo kwa Mungu kuliko chumi ambazo hazijaendelea (Afrika chini ya Sahara).Tafuta pesa mkuu ukizipata utagundua Mungu yupo tofauti na unavyowaza....
Mkuu unatakiwa ujue historia, hizo Northern Europe karne ya 17 kulikua na revivalism evangelism, na pia usisahau industrial revolution ilianza kipindi ganiChumi zilizoendelea (Northern Europe) zina wingi wa watu wasioamini kuwepo kwa Mungu kuliko chumi ambazo hazijaendelea (Afrika chini ya Sahara).
That is neither here nor there.Mkuu unatakiwa ujue historia, hizo Northern Europe karne ya 17 kulikua na revivalism evangelism, na pia usisahau industrial revolution ilianza kipindi gani
Thibitisha kwamba yupoMungu yupo.Na njia pekee Ni kuamini.Unapoanza kutumia akili yako kung'amua kila kitu it turns to be a paranoid.Because we just can't explain God.Its beyond human intelligence.
Hatuwezi tukazungumzia intelligence iliyotuumba,hatuwezi tukamjadili Mungu Kama specimen.Mungu aliyeumba the universe.Universe Ina Kama galaxies trillion mbili! ambazo technology ya mwanadamu inaweza ikaona,ziko zaidi.Na galaxy yetu Ina mpaka nyota billion 400 na zaidi labda,na Kama sayari billion 100.Galaxy yetu Ina mpaka solar systems 500 na zaidi zinagundulika.
Sisi binadamu kwenye solar system yetu yenye sayari nane na satellites au miezi Kama 150 hivi na nyota moja(jua)…tunathubutu kusema Mungu hayupo?
Eti hakuna moto!!! Kuna biblia feki ambazo Watu wanatakiwa kuwa makini nazo sana.
Kutokumpenda unahis anapata hasara gani??Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.
1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)
2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?
3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?
4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.
5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.
6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.
Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.
So im just keeping it real.
Kama hakuna anayemjua mungu ilitokeaje wee ukajua uwepo wake? Unaweza ukathibitisha uwepo wa munguMungu yupo Mkuu sema hakuna aliyewahi kumuona.
Si Shetani si malaika wote hawamjui wala hawajawahi kumuona ndio maana hafananishwi na çhochote ila yupo.
Shida ni kwamba watu hudhani wakifika huko mbinguni watamuona Mungu kumbe wanajidanganya. Shetani mwenyewe hajawahi kumuona ndio maana akamkadiria nguvu zake akidhani atashinda matokeo yake ndio haya.
Hata ukisoma katika kitabu cha historia ya wayahudi kiitwacho Biblia. Utaona Nyoka akimdanganya Hawa kuhusu kufanana na Mungu ambaye Shetani mwenyewe Alitamani kufanana naye. Hawa anaingia tamaa ya kutaka kuingia katika daraja la juu lisilo na mfano yaani lisilo onekana. Yaani Mungu aliyeumba kila kitu.
Hivyo kijana acha kuhangaika kubisha vitu ambavyo huvijui. Ni bora ukae kimya. Lakini simanianishi upelekwe pelekwe na ngonjera za Hawa watu wanaojifanya wanajua kumuelezea Mungu wakati hata waliowapa hizo habari hawamjui. Hata manabii hawamjui. Hata waliowapa ufunuo manabii yaani Malaika hawamjui. Hata huyo wanayemuita Shetani hamjui huyo Mungo japo anatambua kuwa yupo na nmheshimu.
Kwa ufupi hakuna anaemjua Mungu. Hakuna aliyewahi kumuona. Kama Shetani angebahatika kumuona Mungu asingeshindwa kuvujisha jinsi alivyo.
Kilichotokea mbinguni ni kugombania Mamlaka baina ya viumbe waishio huko ambako wanadamu Kwa lugha zao hukuita Mbinguni.
Usimuhukumu mtu kamwe huenda mtoa post akawa mtu mwema sana kuliko wewe unatoa hukumu ya haraka haraka [quote uid=37230 name="sugi" post=21040815](6)Mhubiri 7:1 Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa, Kama ni msomaji wa Biblia mzuri hata watumishi wa Mungu enzi hizo walikumbana na changamoto wakadiriki hata kujuta kuzaliwa au kuwepo na ha kumdhihaki Mungu msome AyubuMtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
Ahhh Al-watan unataka kunambia bado upo ktk mabishano huku,unajua nmekumissKama nyumba haiwezikuwepo bila mjenzi, hilo linaonyesha Mungu hayupo.
Kwa sababu hata Mungu naye atahitaji muumba wake.
Point yako haina maana hapa.
Ei Al-Watan unajua majina haya mwishoni yanaishia komboHujajibu uliloulizwa, ulilojibu hujaulizwa.
Alwatan njoo bas pm nkuthibitishie kua mungu yupoKuna aliyethibitisha uwepo wa Mungu mpaka sasa?

Ebu acha kubishana nao bas mr alwatan ,au umelimiss lile jina la lucifer eeeSina shaka kwamba huwezi kuthibitisha yupo.
Umeonaeee,mm mwenyew nmemshindwa hahaUNA MASWALI MAZURI SANA.
tatizo lako unakuwa mzito kuelewa, so hata ukijibiwa sioni kesho kwako, so keep asking...!!

Mr lucifer njoo tuyaongee tumalizeHujajibu uliyoulizwa.
Uliyojibu hujaulizwa.
Sasa ww alwatan unamuamini nani jaman,hebu nambieChumi zilizoendelea (Northern Europe) zina wingi wa watu wasioamini kuwepo kwa Mungu kuliko chumi ambazo hazijaendelea (Afrika chini ya Sahara).
achaana nao hao njoo tuyaongeeThat is neither here nor there.
What is your point?
Unakataa kwamba chumi zilizoendelea zina idadi kubwa ya wasioamini kuwepo kwa Mungu?
Nani kabisha hizo habari za industrial revolution etc? Kwa nini ni muhimu wewe kuzitaja katika mjadala huu?
Unaongelea sababu zikizofanya chumi zikizoendelea kuwa zilivyo kama mimi sizijui, kwa nini inafikiri sizijui?
Unakubali au unakataa kwamba chumi zikizoendelea zina idadi kubwa ya wasioamini Mungu? Hilo ndilo simuala la msingi, kwa nini una deviate?