Sababu zangu za kuoa single mother

Sababu zangu za kuoa single mother

Mfano wa Naseeb Abdul(Diamond),Alimkuta Zari akiwa na watoto watatu ,pamoja wamejaaliwa watoto wawili😃
Kamkuta Hamisa Mobetto ana mtoto mmoja nayeye kaongeza mmoja.Ni Tanasha pekee alieanza naye akiwa hana mtoto😃😃
 
Mnapotosha vijana wa watu, ndio nyumba kama hiyo mume ni kama mtoto tu ndani ya nyumba.

Ndoa ina raha kwa watu Wawili wenye akili timamu, na siyo mwanaume wa kuanza kumfundisha akili na possibly utampoteza tu ili umtawale vizuri.
Unamfahamu mke wa rais wa ufaransa?
 
Habari wana JF!
Hili suala la mwanaume kuoa mwanamke ambae tayari ana watoto wake mnalionaje!
Je lipo sawa au halipo sawa!?

Kuna case hapa rafiki yangu anataka kuoa mwanamke ambae tayari alishakuwa na mahusiano yake na ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake.
Mahusiano ya hivyo hayana kanuni
 
Habari wana JF!
Hili suala la mwanaume kuoa mwanamke ambae tayari ana watoto wake mnalionaje!
Je lipo sawa au halipo sawa!?

Kuna case hapa rafiki yangu anataka kuoa mwanamke ambae tayari alishakuwa na mahusiano yake na ana watoto wawili na kila mtoto ana baba

Uombe uwe na uwezo wa kuzalisha mana Domo alipiga chap chap
Mfano mwingine Zamaradi alikutwa na watoto wawili nayeye kaongeza wengine,
 
Hatari

Uzoefu wangu niliishi na ma-single mother's watatu kwa nyakati tofauti tofauti aisee..

Yaani pale umeoa wake za watu,
Baba wa mtoto anaweza kuja kumuona mtoto wake muda wowote na tena usiombe akawa mlevi ya hizi pombe zisizo na adabu utakoma..

Mwanamke anaweza kubanduliwa na mme mwenzio muda wowote tena wakati mwingine kwako hapo hapo

Mwisho asijitafutie magonjwa yasiyo na tiba mapema
 
Unamfahamu mke wa rais wa ufaransa?
Ni Mwalimu wake, hiyo wala siyo hoja, nimeishi Ulaya, nimeishi Africa na nimeishi na hao Wafaransa, kwanza kwenye mapenzi Wafaransa hawana mwiko na wanakaa na vichupi nyumbani mama baba na Watoto.

Wewe unaweza kuvaa bikini mbele ya baba yako mzazi? Si kila cha wazungu ni cha kuiga.
 
Attachments

  • Screenshot_20220901-132519_1.jpg
    Screenshot_20220901-132519_1.jpg
    65.2 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220901-132539_1.jpg
    Screenshot_20220901-132539_1.jpg
    71 KB · Views: 27
Ni Mwalimu wake, hiyo wala siyo hoja, nimeishi Ulaya, nimeishi Africa na nimeishi na hao Wafaransa, kwanza kwenye mapenzi Wafaransa hawana mwiko na wanakaa na vichupi nyumbani mama baba na Watoto.

Wewe unaweza kuvaa bikini mbele ya baba yako mzazi? Si kila cha wazungu ni cha kuiga.
Hebu ngoja kidogo....

Kama Ni huyo kwenye picha watoto wake wamefanya nibadilishe maamuzi...

Aoe tu ila za mitaala
 
Sakata lilopo ni kwamba huyu rafiki yangu kakutana na mwanamke ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake.
Sasa imefika kwenye kipengele wanataka kufunga ndoa na kufanya harusi. Sasa huyu jamaa alikuwa hajaiambia familia yake kuwa huyu dada anaetaka kumuoa tayari ana watoto. Na tayari wameshatoa mahari

Ndugu wa mwanamme wamegomea kuendelea na mchakato wa harusi na wanamkazia mtoto wao wa kiume kumuoa huyo dada.

Upande wa mwanamke tayari walikuwa wamefika mbali na maandalizi ya send off kwahyo jana huyo dada kafanyiwa sendoff tayari ilihali harusi haitofanyika na hatma haifahamiki.
 
Tueleze kitaalam,ni athari zipi atazipata huyo mwanaume
Kitaalam mwanamke huwa anajenga bond na mwanaume aliyezaa naye na haivunjiki mpaka pale mwanamke atakapokufa,

Mwanamke akishakuwa na mtoto atahamisha asilimia kubwa za upendo kwa watoto, sio kwa binadamu tu hata kwa wanyama isipokuwa fox.

huyu ana wawili, huwezi kupata mapenzi ya dhati kwake mpaka wa watoto wake wawe kwenye hali nzuri.

Hapo sijazungumzia kupasha viporo.

Mwanamke mwenye mtoto mmoja fanya nae mahusiano lakini usioe. Mwenye wawili achana nae.
 
Walidhania wamepata kitonga 😅😅😅😅😅
 
Ni Mwalimu wake, hiyo wala siyo hoja, nimeishi Ulaya, nimeishi Africa na nimeishi na hao Wafaransa, kwanza kwenye mapenzi Wafaransa hawana mwiko na wanakaa na vichupi nyumbani mama baba na Watoto.

Wewe unaweza kuvaa bikini mbele ya baba yako mzazi? Si kila cha wazungu ni cha kuiga.
Mmmh!
 
Kitaalam mwanamke huwa anajenga bond na mwanaume aliyezaa naye na haivunjiki mpaka pale mwanamke atakapokufa,
Nakazia

Mwanamke akishakuwa na mtoto atahamisha asilimia kubwa za upendo kwa watoto, sio kwa binadamu tu hata kwa wanyama isipokuwa fox.
Nakazia
huyu ana wawili, huwezi kupata mapenzi ya dhati kwake mpaka wa watoto wake wawe kwenye hali nzuri.
Nakazia
Hapo sijazungumzia kupasha viporo.
Nakazia
Mwanamke mwenye mtoto mmoja fanya nae mahusiano lakini usioe. Mwenye wawili achana nae.
Nakazia
 
Sakata lilopo ni kwamba huyu rafiki yangu kakutana na mwanamke ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake.
Sasa imefika kwenye kipengele wanataka kufunga ndoa na kufanya harusi. Sasa huyu jamaa alikuwa hajaiambia familia yake kuwa huyu dada anaetaka kumuoa tayari ana watoto. Na tayari wameshatoa mahari

Ndugu wa mwanamme wamegomea kuendelea na mchakato wa harusi na wanamkazia mtoto wao wa kiume kumuoa huyo dada.

Upande wa mwanamke tayari walikuwa wamefika mbali na maandalizi ya send off kwahyo jana huyo dada kafanyiwa sendoff tayari ilihali harusi haitofanyika na hatma haifahamiki.
Naona ndg wa mwanaume wako sahihi. Watoto wawili (2) kila mmoja na baba yake !
Swali la kujiuliza ilikuaje akazaa na mwanaume wa kwanza kisha akamwacha,akazaa na wa pili pia akamwacha.
Ingekua watoto wawili wa baba mmoja tungesema pengine mzazi mwenza alikua na shida,ila wawili baba tofauti maana yake wanaume wawili wanaojulikana waliotangulia kuwa na huyo mwanamke wote wana shida then mwanamke awe hana shida !
Aoe kwa utashi wake ila atakuja kujutia baadaye

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kazaa na wa kwanza kaachana, kazaa na wa pili kaachana, kakupata sasa wewe ndondocha....
 
Back
Top Bottom