Sababu zangu za kuoa single mother

Sababu zangu za kuoa single mother

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,800
Reaction score
3,269
Habari za wakati huu

Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;

~ Mtamu sana.

~ Anajua kupenda.

~ Amekomaa kiakili.

~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.

~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.

~ Hakunaga kigeni kwao.

~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.

~ Wanahuruma sana.

Mje mniue
 
Nakubaliana na wewe....shida yao moja tuu. Watakwambia umpende mtoto wake kuliko unavyoipenda mbususu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mm nshashindwaga kabisa kupenda kwa dhati damu ya mwenzangu, tena ndo toto liwe tundu tundu ndio kabisaaaa, labda umri ukipanda huko mbele uzee utanibadili ila kwa sasa sipend kbsa.
 
Na mm nshashindwaga kabisa kupenda kwa dhati damu ya mwenzangu, tena ndo toto liwe tundu tundu ndio kabisaaaa, labda umri ukipanda huko mbele uzee utanibadili ila kwa sasa sipend kbsa zao la shahaw* za men mwenzangu
Ila ukweli usemwe kulea mtoto wa mwanaume mwenzio yataka moyo kwa kweli.
Na litoto likiwa tundu basi balaa kweli kweli.
Kusema kweli masingle maza wanajua kutoa mbususu ila changamoto kulea toto la jamaa mwengine
 
Kuoa mwanamke aliyezalishwa ni kukosa akili, sababu kama aliweza kuzalishwa na kuachwa ni evidence tosha kuonesha yeye ni mtu wa aina gani na kwamba ni lazima kuna tatizo mahali kwake na mtu aliyemzalisha. Wewe kuwekeza hapo ni kujiingiza kwenye majanga na mikosi isiyo na lazima wakati mabinti wabichi wamejaa duniani.
Raha ya familia ni kuwa na yako peke yako.

Una umri gani?
Piece of advice: Grow Up.
 
Nakuunga mkono100%

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom