Tempest
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 245
- 430
Inategemea, kama umemkubali sana unaweza fanya hivyo ila binafsi najiona siwezi, maana ishu ya kulea watoto ni lifelong na hao madogo wakishaanza kukuita baba ishakuwa responsibility yako hapo bado wakwako pia,
Majanga zaidi ni baada ya miaka kadhaa ushatumia gharama zako za kutosha kwa hao watoto mtu anarudi kwa mumewe wa zamani na unaenda kufunguliwa kesi mahakamani unataka kuwaiba watoto wa watu, SO kwa mimi ni BIG NOOOOOOOOO