Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,955
subiri kufa huku ukilalama..Habari za wakati huu
Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;
~ Mtamu sana.
~ Anajua kupenda.
~ Amekomaa kiakili.
~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.
~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.
~ Hakunaga kigeni kwao.
~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.
~ Wanahuruma sana.
Mje mniue