Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,342
- 201,602
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sisi tunalea watoto wenu tuliowakuta nao na hamsemi???Yan nitamwambia maana ni damu yao ni ukoo wa mtoto, Mimi siwezi kuhudumia toto la mtu waakati baba yake yupo haiwezekani.
Mzazi mwenzake yupo Hai au hujaamua kujisumbua kujua hilo?Habari za wakati huu
Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;
~ Mtamu sana.
~ Anajua kupenda.
~ Amekomaa kiakili.
~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.
~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.
~ Hakunaga kigeni kwao.
~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.
~ Wanahuruma sana.
Mje mniue
Hizi ndo funga kaziUtakuja upige simu utaambiwa baby sory nimetoka nipo Mkoa fulani huyu mtoto amekuwa akinisumbua sana anasema anataka kumuona baba yake, anasema anaumia shuleni akiona wenzake wanatembelewa na baba zao wazazi, anasema kama simuoneshi atajidhulu kwa maana hiyo nimemleta kwa baba yake Mara moja hapa Mkoani Mwanza baby, usiwe na wasi wasi baby niko care sana, najali mahusiano yetu na afya yangu...
[emoji3][emoji3] inapofika saa mbili kamili usik simu imezimwa had kesho saa tatu asubuhi, ndio utajua maana ya wahenga wa humu wanachokushauri na ww kukaza shingo.
Akitoka huko anaanza mabadiliko kidogo kidogo, simu busy, hatak uishike ukiishika mnagombana kwamba humuamin, kidogo kidogo utasikia ww nimekuvumilia sana ila inaonekana uko tofauti na Baba Junior baba wa mwanangu yeye hafatiliag simu zangu, tunaaminiana sana na alinipenda kwa dhati ni basi shetani aliingilia penzi letu tukaachana.
Kwa sasa naona kama ameanza kujirudi mme wangu na baba wa mtoto/watoto wangu sitaki kumkwaza tena, sory kama huwez ishi nami na ukaniacha nikawasiliana na baba wa mwanangu for the sake ya furaha ya mwanangu pekee bora uniache tu.
Siwez kosesha mwanangu furaha sababu ya wivu wako, siwez muacha baba wa mtoto wangu kama kaamua kubadilika haijalishi hata kama ameoa najua ni shetani alimpitia kama anavyopitia watu wengi ila bado ananipenda sana.
Na toka mwanangu amemuona baba yake anafuraha sana sana hata mm mwenyewe nafurahia anavyoishi kwa sasa.
Mkuu pamoja ni kuandika yote hayo njoo uendelee kushupaza shingo halafu tuache siku zitaamua zenyewe huko mbeleni.
Kulea kwa maana ipi?Mbona sisi tunalea watoto wenu tuliowakuta nao na hamsemi???
Halafu wagumu kuzaa Tena Wanaogopa Wasije wakaachwa tenaNakubaliana na wewe....shida yao moja tuu. Watakwambia umpende mtoto wake kuliko unavyoipenda mbususu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuh,Kuna mmoja nikakuta kazalishwa ila mtoto wake yuko kwa bibi yake ambaye ni mama wa ex wake.
Nikasema hapa sawa nitaishi na huyu kwa vile haishi na mtoto maana kuitwa baba nikavimba ilihal sio damu yangu nisimgeweza kabisa, au sijui school fees 1.5m ya medium school naambiwa baby mlipie mwanetu, ilihal ndugu zangu kijijin wanatembea naashati yamechanika mgongoni nisingeweza kabisa.
Basi ikafika siku ikapigwa simu na yule mama wa x wake anaeishi na mtoto kafura kweli kweli, eti mmenikabidhi mtoto hapa na kila mmoja wenu anakula bata mm nahangaika na mwanenu, augue nimtibu, nimfulie, nihakikishe kala na kalala, nyie mpo mpo tu hata nikiwaambia kuna uhitaji wa swala fulani jibu lenu nisubiri hamna fedha sasa kwa nini mlizaa?
Jumamosi hii ufike Mkoani nilipo tujue mwafaka wa malezi ya huyu mtoto. Mdada akaniaga bwana nimeitwa kwa mwanangu ngoja niende chapu na kurudi, nikaona swala la mtoto ni sensitive na hata nikimkataza tutaishia lumbana kwamba sijali mwanae.
Huyoo akaenda zake, kumbe yule ex wake kaambiwa afike same day wapate mwafaka, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jioni kuna chumba pale analala mdada wa yule maza, akaambiwa fulani utoe vutu vyako hicho chumba cha nje uwaachie hawa nafasi ya kulala.
Piga simu usiku haipatikan, mpaka saa tatu asubuhi mtu katafuta upenyo sijui kajifanya anaenda dukan nunua sukari ndo kunipigia, naambiwa sorry sana mme wangu ni story ndefu kukuelezea kuwa mvumilivu nikija nitakuambia nini kilijiri hapa, ila kuaa na amani.
Alivyokuja nilivyombana kwa sura ya ukali zaidi ndo kunambia hilo jibu kwamba aliaambiwa fulani wapishe fulani na fulani chumba che nje walale je ungekuwa wewe mme wangu ungekataa wakat wenyeji ndo wanapanga namna ya kulala pale kwao.
Ila tulilala tu hatukufanya lolote maana siwez fanya na mtu sijamuona muda mrefu sijui afya yake.
Alivyobanwa vizuri akasema tulifanya kamoja tu kwa kunilazimisha [emoji3][emoji3][emoji2]
Nikaamin single Mother sio wako na huna Mamlaka nae.
Mnalea lakini huwezi kutumia pesa zako kuwalea ni ngumu mwanamke kulea mtoto wa mwanamke mwenzake kumlipia ada nk.Mbona sisi tunalea watoto wenu tuliowakuta nao na hamsemi???
Alafu kweli bwana wagumu hao...yaani wanaweka conditions mia ishirini kidogo. Anyways mlung'u anasema once beaten twice shy. So wacha wajilindeHalafu wagumu kuzaa Tena Wanaogopa Wasije wakaachwa tena
Kweli walipie Ada na mavazi na huduma za afya kwa mtoto wa mwanamke aliyezaa na mume kama atasubutu ata mara mojaKulea kwa maana ipi?
Maana nyinyi kwa jinsi mlivyo wa gumu kutoa hela zenu,halafu ndio utoe kwa ajili ya mtoto wa mwengine.
Hii point yako haijaangalia pande zote ,,,, ww unazan single mother wote ,wameachwa tu ,,kuna kifo kuna matatzo ya hao waliowazalisha ,wengine wao ndo wanaacha kwa sababu mbal mbal mfano unakuta mdada ana akir zake nzur muelewa mstaarabu lakin anazalishwa na mtu ambae sio sahihi ila kwa sababu ni binadam ndio umeshatokea ,point yako ina msingi kwa wale masingle mother ambao wao ndio chanzo cha kuwa single mother ,, lakin mtoa mada itakua anazungumzia masingle mother wamesababishwa kuwa ivyo ambae ukimpata unasahau ata asiezaaKuoa mwanamke aliyezalishwa ni kukosa akili, sababu kama aliweza kuzalishwa na kuachwa ni evidence tosha kuonesha yeye ni mtu wa aina gani na kwamba ni lazima kuna tatizo mahali kwake na mtu aliyemzalisha. Wewe kuwekeza hapo ni kujiingiza kwenye majanga na mikosi isiyo na lazima wakati mabinti wabichi wamejaa duniani.
Raha ya familia ni kuwa na yako peke yako.
Una umri gani?
Piece of advice: Grow Up.
Agiza kitimotoHii point yako haijaangalia pande zote ,,,, ww unazan single mother wote ,wameachwa tu ,,kuna kifo kuna matatzo ya hao waliowazalisha ,wengine wao ndo wanaacha kwa sababu mbal mbal mfano unakuta mdada ana akir zake nzur muelewa mstaarabu lakin anazalishwa na mtu ambae sio sahihi ila kwa sababu ni binadam ndio umeshatokea ,point yako ina msingi kwa wale masingle mother ambao wao ndio chanzo cha kuwa single mother ,, lakin mtoa mada itakua anazungumzia masingle mother wamesababishwa kuwa ivyo ambae ukimpata unasahau ata asiezaa
🤣🤣🤣Atalipia mwiguluAgiza kitimoto
Hilo mimi halinihusu.Sio kweli