Sababu zangu za kuoa single mother

Sababu zangu za kuoa single mother

Mwasapile wenzio kibao uku walishakubaliana kuwa amna kuoa wakina sisi ,Ina maana huwa huoni ili upate cha kumshauri rafikio au unataka kushambuliwa tu???

Simple asioe uyo ,atafute asie na mtoto ili mambo yake yasiwe mengi

Sisi walisema tunaolewa na vilema,wasio na akili ,vipofu na vibabu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kila nikitaka ku-comment Kuna kitu kinaniambia "hebu tulia acha umbea" ....Wacha nisome tu comment ila sometimes wanaume tunapenda kufa mapema
 
Habari za wakati huu

Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu...
Hongera kijana, hata mama wa mtoto wangu nae kaolewa. Jamani waoeni hawa single mother ni wanawake warahisi sana.
 
Mfano wa Naseeb Abdul(Diamond),Alimkuta Zari akiwa na watoto watatu ,pamoja wamejaaliwa watoto wawili😃
Kamkuta Hamisa Mobetto ana mtoto mmoja nayeye kaongeza mmoja.Ni Tanasha pekee alieanza naye akiwa hana mtoto😃😃
sasa bwana naseeb sio wa kumuhesabia huyu maana naye ni wale wale malimbukeni
 
Mwasapile wenzio kibao uku walishakubaliana kuwa amna kuoa wakina sisi ,Ina maana huwa huoni ili upate cha kumshauri rafikio au unataka kushambuliwa tu?...
Usiseme hivyo, hapa duniani kila mtu ana njia yake, kila mtu anahitaji kuwa na furaha, hata nyie single parents mnaihitaji furaha, ni kweli changamoto zipo ila haimaanishi kuwa hamstahili kufurahia maisha ya ndoa. Hii comment yako usiirudie tena mkuu...
 
Habari za wakati huu

Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;

~ Mtamu sana.

~ Anajua kupenda.

~ Amekomaa kiakili.

~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.

~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.

~ Hakunaga kigeni kwao.

~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.

~ Wanahuruma sana.

Mje mniue
Wee jamaa utakuja upigwe tukio akili itakukaa sawa
 
Kila nikitaka ku-comment Kuna kitu kinaniambia "hebu tulia acha umbea" ....Wacha nisome tu comment ila sometimes wanaume tunapenda kufa mapema
Ndugu elly hebu toa comment yako aisee huenda ikamsaidia msomaji huwezi jua
 
Mpaka umekua hujajua IPO tofauti kubwa baina ya jamii za binadamu?
Yaani Wazungu, waarabu, wachina, Waafrika?
Hujui hizo jamii zinatofautiana kimaumbile, kirangi, kifikra, na mitazamo?

Huwezi linganisha Mbuzi na Swala, nyati na NG'OMBE, au Paka na chui
Jama anataka kuleta uzungu kwa wanawake wa kibongo 🤣🤣🤣
 
Ndugu elly hebu toa comment yako aisee huenda ikamsaidia msomaji huwezi jua
Naogopa lawama ndugu yangu ila kwa kweli kweli kabisa nikiongea kutoka moyoni mwangu, kuona mwanamke mwenye watoto wawili tena kutoka kwa wanaume tofauti sidhani kama ni sahihi sana, i am very sorry to say this.
 
Nakubaliana na wewe....shida yao moja tuu. Watakwambia umpende mtoto wake kuliko unavyoipenda mbususu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli pia
 
Na mm nshashindwaga kabisa kupenda kwa dhati damu ya mwenzangu, tena ndo toto liwe tundu tundu ndio kabisaaaa, labda umri ukipanda huko mbele uzee utanibadili ila kwa sasa sipend kbsa.
Usisahau unaweza kufa mkeo akaolewa na mwanaume mwingine na wanao watalelewa na huyo mwanaume mwingine. Maisha hayatabiriki, usijifanye bingwa wa ubaguzi!
 
Usisahau unaweza kufa mkeo akaolewa na mwanaume mwingine na wanao watalelewa na huyo mwanaume mwingine. Maisha hayatabiriki, usijifanye bingwa wa ubaguzi!
Boss tofautisha mjane na single mother. Kila jinsia inalawama zake, mwanaume akikosa pesa au maisha basic tu standard atakataliwa tu na wanawake na atakosa wakuwaoa na kwa wanawake, ukosefu wa kujitunza mwili kutawaweka upande wa kushoto hata upinge vipi. Huwezi kupinga character na personality ya jinsia fulani ili zikuonee huruma. Kila jinsia inalia kwaupande fulani, usifikiri wanaume hatubaguliwi boss. Sasa mwanaume aje alie hapa kuwa sina pesa na mwanamke kamkataa uone atakavyosakamwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena si na wanawake tu hata wanaume pia.
 
Usiseme hivyo, hapa duniani kila mtu ana njia yake, kila mtu anahitaji kuwa na furaha, hata nyie single parents mnaihitaji furaha, ni kweli changamoto zipo ila haimaanishi kuwa hamstahili kufurahia maisha ya ndoa. Hii comment yako usiirudie tena mkuu...
Noted,

Thanks

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom