Sababu zangu za kuoa single mother

Sababu zangu za kuoa single mother

Hii point yako haijaangalia pande zote ,,,, ww unazan single mother wote ,wameachwa tu ,,kuna kifo kuna matatzo ya hao waliowazalisha ,wengine wao ndo wanaacha kwa sababu mbal mbal mfano unakuta mdada ana akir zake nzur muelewa mstaarabu lakin anazalishwa na mtu ambae sio sahihi ila kwa sababu ni binadam ndio umeshatokea ,point yako ina msingi kwa wale masingle mother ambao wao ndio chanzo cha kuwa single mother ,, lakin mtoa mada itakua anazungumzia masingle mother wamesababishwa kuwa ivyo ambae ukimpata unasahau ata asiezaa
Kwa upande huo unaweza kuwa sahihi kwa asilimia fulani, lakini bado haitoshi kwa mtu anayetaka kuanzisha familia ya yake peke yake na mtu ambaye hajazaa na hana experience ya ndoa.
 
Ha ha ha hapa GeNye ndio inaongea, ngoja ziishe.
Akili zitarudi tu
 
Habari wana JF!
Hili suala la mwanaume kuoa mwanamke ambae tayari ana watoto wake mnalionaje!
Je lipo sawa au halipo sawa!?

Kuna case hapa rafiki yangu anataka kuoa mwanamke ambae tayari alishakuwa na mahusiano yake na ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake.
 
Shida iko wapi?
Anaoa mkee au bikra?
Kama wameafikiana iko poa tu.
Uzuri jamaa kama ana mudu kuwahudumia mpaka hao watoto wa huyo mama inamaanisha....sooon atajihesabu ameshatengeneza maisha ya watu wawili duniani.
Kimsingi raha ya pesa ni kuweza kutengeneza maisha ya wengine
 
Umeshafanya maamuzi yako halafu unakuja kupima upepo JF.

Unaandika huku jibu la ukweli unalijuwa vizuri tu, mnatuchosha.
 
Habari wana JF!
Hili suala la mwanaume kuoa mwanamke ambae tayari ana watoto wake mnalionaje!
Je lipo sawa au halipo sawa!?

Kuna case hapa rafiki yangu anataka kuoa mwanamke ambae tayari alishakuwa na mahusiano yake na ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake.
Mi naoa hata mwenye watoto kumi, au jamaa yako anahofia mpunga wa kuwalea hana?
 
Duuuh......

Mwambie kabla hajamuoa huyo mwanamke afanye haya yafuatayo kwa umakini...

1:- Amuoneshe kaburi la baba wa hao watoto..

2: Liwe limejengewa na jina la baba wa watoto liwe na majina matatu..

3:Huyo mwanamke awe na tako kubwa ili liwe linamfariji jamaaako kuwa utamu bado umo...

4:Asifunge ndoa ya kanisani ni kifungo cha maisha, hao ni wa kujifarijia na kujichukulia maujuzi
 
Back
Top Bottom