VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 545
Mtamu kiaje fafanua
Unaambiwa ukipenda ua penda na Boga lakeYan nitamwambia maana ni damu yao ni ukoo wa mtoto, Mimi siwezi kuhudumia toto la mtu waakati baba yake yupo haiwezekani.
Aaah wapi jifariji itaisha 4 -5 weww ndio umefungwaFt itasoma 4 -1
Hapana, ft ni 5-4, sm 5, wewe 4.Ft 4-1
Hivi inakuaje mpaka mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mtumba wanawake wengi Hawana shukrani tambua hilo hata ukimstiri bado atakuona we ni mshamba na mdhaifu umeacha pisi kali umedondokea
Kwake
Mie kuna single maza mmoja nimegundua nampenda sana...najitolea kulea bao la mwanaume mwengine ili moyo wangu utulie. Yule mwanamke nampenda kwa kweli ni vile tuu nimechelewa kulikubali hilo.
Naunga mkono huu uziHabari za wakati huu
Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;
~ Mtamu sana.
~ Anajua kupenda.
~ Amekomaa kiakili.
~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.
~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.
~ Hakunaga kigeni kwao.
~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.
~ Wanahuruma sana.
Mje mniue
Unalea bao la mwamba
Yeye yupo huko anakula bata
Akitaka anapasha kiporo mda wowote halafu anakuja kujisifu jamii forum


maaamaaeee Daaah!! Neno ovu sana hili"Mke wako ni Mama watoto wangu"
Sio kweliKuoa mwanamke aliyezalishwa ni kukosa akili, sababu kama aliweza kuzalishwa na kuachwa ni evidence tosha kuonesha yeye ni mtu wa aina gani na kwamba ni lazima kuna tatizo mahali kwake na mtu aliyemzalisha. Wewe kuwekeza hapo ni kujiingiza kwenye majanga na mikosi isiyo na lazima wakati mabinti wabichi wamejaa duniani.
Raha ya familia ni kuwa na yako peke yako.
Una umri gani?
Piece of advice: Grow Up.