Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Kuna mtu aliweka ka link kakumpigia kura humu huyo kichwa nazi mbata.. Wakawa wanasifiana ujinga eti dai domo anaongoza. Anaongozaaa!? Mi nilisema yaliyo moyoni kuwa hashindi wala nini Qudadeki. Haya kama mmekasirika andamaneni basi.
wanajifanya wame panic mkuu kama vp waombe kibali cha polisi wafanye MAANDAMANO YA AMANI sio wanatoa povu jf!!!!!