Sababu za mimi kufurahi Diamond kukosa tuzo....

mi mtu yeyote duniani akifanikiwa nafurahi. Hata kama si ndugu yangu na wala hanihusu.

Tunatofautiana.
Hata boko haram walisali na walifanikiwa kuwateka mabinti, nadhan roho yako iko kwatuu!!
 
achukue au asichukue tuzo hiyo sio sababu ya kumchukia,cha msingi ni kujali biznez zko sio kufatilia life ya wengine hizo ni dalili za wivu na kukosa kazi za kufanya.

Nani kamchukia au kuchukia?!
Soma thredi, mi nimetoa sababu za kufurahi sio kuchukia!
 
kafie kwa zulu natal huko kukosa kazi za kufanya we una kazi gani unashinda unapiga umbea jf!!!
 
1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake.
Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa.
2. Diamond angeshinda, angekua expensive zaid na nyodo za kutufungia vioo.
Genge lake lingezunguka nae nchi nzima kupiga hela. Hiyo tuzo na yeye mwenyewe asingeenda uwanja wa taifa au nchi nzima na mashabiki tukaione bure baada ya kumpa ushindi.
Sosi:- Kill music awards.
3. Diamond angeishia kitupnyesha majumba na magari ya kifahari kwenye instagram, badala ya mfano ka-ambulence bajaj ambako hata sisi walala hoi tungekatumia.
4. Angezidi kuwa muhuni na dharau kwa wanawake.
5.
6.
nk

Kila mtu anauhuru wakuandika chochote kulingana na mtazamo wako.bnafsi kukosa kwake tunzo mm nampa pole,ila nimoja ya matokeo tuliotarajia.mtoa maada kumbuka huyo ni kazi yake,pili maisha anayoishi ndo amechagua yeye!!kumuona majumba cjui manini nawe fanya kazi muombe mungu wako ,ili uwe zaidi yake.na ka unayapenda hayo maisha nawe ujiunge kile anachokifanya yeye.usilete maneno mengi piga kazi.
 
Sour grapes if you ask me!
Ashinde au asishinde, mtindo maisha wake afanyacho ni kile ambacho kijana yeyote angefanya kama angekuwa yeye!!
Mungu ambariki zaidi sababu nina uhakika kuna mtu angalau mmoja ametoka kimaisha sababu ya kuwa 'inspired' au kwa msaada wa moja kwa moja toka huyo Diamond.
 
Kila mtu anauhuru wakuandika chochote kulingana na mtazamo wako.bnafsi kukosa kwake tunzo mm nampa pole,ila nimoja ya matokeo tuliotarajia.mtoa maada kumbuka huyo ni kazi yake,pili maisha anayoishi ndo amechagua yeye!!kumuona majumba cjui manini nawe fanya kazi muombe mungu wako ,ili uwe zaidi yake.na ka unayapenda hayo maisha nawe ujiunge kile anachokifanya yeye.usilete maneno mengi piga kazi.

Niulize kwanza kwanini sijawahi andika haya kwa AY.
 
hahaha, umeanza lini uchawi?
binafsi mtu yeyote akifanikiwa nafurahi manake inapunguza probability ya kumuegemea mwingine. Acha agawe umaskini bwana, eboo.

unafiki
 
Nani kamchukia au kuchukia?!
Soma thredi, mi nimetoa sababu za kufurahi sio kuchukia!
Unapo furahi mwenzako anapo shindwa maana yake hupendi mafanikio yake na hii ndio chuki yenyewe,haters bongo wapo wengi sana na ndio maana hatu endelei,furahia mafanikio ya mwenzako kaka,ili na wenzako wanufaike kupitia hyo mafanikio,kwa mfano we ukijenga nyumba mi nita furahi coz uta ajir mafund,na utanunua cement na vifaa vingine na hivyo vifaa utakodi gar na pia utaweka wabebaji hiyo mizigo,hapo si utakua umegawa riziki kwa watu kibao na mungu ata kuongezea.
 
Tunatofautiana.
Hata boko haram walisali na walifanikiwa kuwateka mabinti, nadhan roho yako iko kwatuu!!
Nazungumzia mafanikio ya kimaendeleo ya kimaisha kwa kiasi cha jitihada halali ulizofanya mkuu. Si mafanikio yatokanayo na uhalifu.
 
kweli kaka jambazi ni jambazi tena jambazi sugu utakuwa mgalatia wewe sio bure
 
Unapo furahi mwenzako anapo shindwa maana yake hupendi mafanikio yake na hii ndio chuki yenyewe,haters bongo wapo wengi sana na ndio maana hatu endelei,furahia mafanikio ya mwenzako kaka,ili na wenzako wanufaike kupitia hyo mafanikio,kwa mfano we ukijenga nyumba mi nita furahi coz uta ajir mafund,na utanunua cement na vifaa vingine na hivyo vifaa utakodi gar na pia utaweka wabebaji hiyo mizigo,hapo si utakua umegawa riziki kwa watu kibao na mungu ata kuongezea.

Kwa iyo mi kufurahia mafanikio ya Davido ni tatizo?!
 
Nazungumzia mafanikio ya kimaendeleo ya kimaisha kwa kiasi cha jitihada halali ulizofanya mkuu. Si mafanikio yatokanayo na uhalifu.

Thibitisha mafanikio yote ya Diamond ni halal.
 
Back
Top Bottom