Sababu za mimi kufurahi Diamond kukosa tuzo....

Sababu za mimi kufurahi Diamond kukosa tuzo....

1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake.
Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa.
2. Diamond angeshinda, angekua expensive zaid na nyodo za kutufungia vioo.
Genge lake lingezunguka nae nchi nzima kupiga hela. Hiyo tuzo na yeye mwenyewe asingeenda uwanja wa taifa au nchi nzima na mashabiki tukaione bure baada ya kumpa ushindi.
Sosi:- Kill music awards.
3. Diamond angeishia kitupnyesha majumba na magari ya kifahari kwenye instagram, badala ya mfano ka-ambulence bajaj ambako hata sisi walala hoi tungekatumia.
4. Angezidi kuwa muhuni na dharau kwa wanawake.
5.
6.
nk
Never expect such a low comment kutoka kwenye hii ID
Hivi wewe ukufanya kazi zako kwa bidii ukapata mafanikio unanunuliaga watu hayo magari ya wagonjwa au wanafaidi watu wako wakaribu ikiwepo michepuko yako?
Unafiki ni kitu kibaya sana
 
1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake.
Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa.
2. Diamond angeshinda, angekua expensive zaid na nyodo za kutufungia vioo.
Genge lake lingezunguka nae nchi nzima kupiga hela. Hiyo tuzo na yeye mwenyewe asingeenda uwanja wa taifa au nchi nzima na mashabiki tukaione bure baada ya kumpa ushindi.
Sosi:- Kill music awards.
3. Diamond angeishia kitupnyesha majumba na magari ya kifahari kwenye instagram, badala ya mfano ka-ambulence bajaj ambako hata sisi walala hoi tungekatumia.
4. Angezidi kuwa muhuni na dharau kwa wanawake.
5.
6.
nk

Kushabikia uhuni na umalaya wa wanawake wa huyo mtu! Hivi ana nini cha kujivunia. hana originality of what he calls his music, ni kukopi beats za wamarekani na kuweka kiswahili, basi!
 
Aisee jf ni zaidi tuijuavyo!
Daa tuna safari ndefu sana.
 
Haja settle invoice za mganga ndo mana kakosa tuzo
 
Aya kaka. kaka sio vizuri kakosa bahati mbaya next time atapata.mi nnamkubali sana anaweza.
 
Kwendeni zenu na ngololo wenu.. ata promota jeykey ameshindwa kumpaisha ili amzidi davido..
 
Sababu za kitoto kabisa

Kuna watu wana nyodo domo anaingia mara 1000
 
USHOGA ni nini?

-Ushoga ni kitendo cha kuchukia mafanikio ya mwanaume mwenzako.
 
USHOGA ni nini?

-Ushoga ni kitendo cha kuchukia mafanikio ya mwanaume mwenzako.

Ushoga ni kitendo cha kumsifia mwanume mwenzio..i.e kusifia mbupu zake,mdomo wake,au unenguaji wake jukwaani wakati anacheza ngololo.
 
hebu tuondolee upuuzi wako utakuwa umeishia la tano shule mxxxuuuuu
 
Back
Top Bottom