Sababu za mimi kufurahi Diamond kukosa tuzo....

Sababu za mimi kufurahi Diamond kukosa tuzo....

Mi angekupata tu kwa hiyo umepata faida gan alivyokosaa???
 
nawe thibitisha mafanikio yote ya Diamond si halali!

huwezi imba upuuzi ukaenda BET afu ni freemason ambaye kichwani ni hewa HELA SIO MAFANIKIO HELA NI UTUMWA ZIKIZidi
 
1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake.
Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa.
2. Diamond angeshinda, angekua expensive zaid na nyodo za kutufungia vioo.
Genge lake lingezunguka nae nchi nzima kupiga hela. Hiyo tuzo na yeye mwenyewe asingeenda uwanja wa taifa au nchi nzima na mashabiki tukaione bure baada ya kumpa ushindi.
Sosi:- Kill music awards.
3. Diamond angeishia kitupnyesha majumba na magari ya kifahari kwenye instagram, badala ya mfano ka-ambulence bajaj ambako hata sisi walala hoi tungekatumia.
4. Angezidi kuwa muhuni na dharau kwa wanawake.
5.
6.
nk
wivu wa kijinga, chuki za kichawi-chawi, udananda wa kilofa nakadhalika

umefulia kimawazo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa iyo mi kufurahia mafanikio ya Davido ni tatizo?!

Sio tatizo ila unafurahia sana Nasibu kushindwa na ina onekana haukupenda na ulikua hutaki diamond achukue hiyo tuzo kwa sababu za chuki na wivu ulizo zitaja hapo juu....dua lako limeskika.rejea points zako #1-4 .
 
huwezi imba upuuzi ukaenda BET afu ni freemason ambaye kichwani ni hewa HELA SIO MAFANIKIO HELA NI UTUMWA ZIKIZidi
Haya ndio mawazo ya kilofa kweli kweli yani mtu akiwin kidogo tu basi ni fremason,huu ni upimbi utabaki kuwa msindikizaji tu maishani mwako km hauto kua kiakili.
 
Back
Top Bottom