djnehe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 677
- 211
Tayari wafuasi wa mwamed mmeanza yaani asiguswe muislam kosa la jinai
1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake.
Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa.
2. Diamond angeshinda, angekua expensive zaid na nyodo za kutufungia vioo.
Genge lake lingezunguka nae nchi nzima kupiga hela. Hiyo tuzo na yeye mwenyewe asingeenda uwanja wa taifa au nchi nzima na mashabiki tukaione bure baada ya kumpa ushindi.
Sosi:- Kill music awards.
3. Diamond angeishia kitupnyesha majumba na magari ya kifahari kwenye instagram, badala ya mfano ka-ambulence bajaj ambako hata sisi walala hoi tungekatumia.
4. Angezidi kuwa muhuni na dharau kwa wanawake.
5.
6.
nk
Domo kubwa limemkosesha tuzo

nikuelewe nifaidike peleka huko!!!!
Kwa haya madongo nimeghairi kuwa selebriti!!
Watu wanapiga dongo za hatari sana.
Huyo diamond kwanza muislam wa jina. Mtu gani kachora matatoo anazini wazi mwezi wa ramadhani yeye ndio anakumbatia wanawake kwenye video yake aliyoirekodi no 1 south anavaa Cheni uislam haturuhusiwi mwanamme kuvaa chain ana hela ngololo kwenye maulid du mbona mengi ya kumuita mwislam wa jina sijaona akitia nguvu kwenye uislam ana mkumbuka mungu kwa kusema mdomoni sio kwa matendo