Sababu za mimi kufurahi Diamond kukosa tuzo....

Kaka acha wivu furahia mafanikio ya mwenzako ili kesho watu wafurahie yakwako.

Ndo ivo nimefurahia ya Davido, muafrika.
Hata rais huwa anasema "Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika" na sio ulaya.
 
5. Wimbo uliomfikisha hapo kauiba kwa Dayna.
NIMEFURAHI KWELI KALA ZA USO
 
Kuna mtu aliweka ka link kakumpigia kura humu huyo kichwa nazi mbata.. Wakawa wanasifiana ujinga eti dai domo anaongoza. Anaongozaaa!? Mi nilisema yaliyo moyoni kuwa hashindi wala nini Qudadeki. Haya kama mmekasirika andamaneni basi.
 
Nazungumzia mafanikio ya kimaendeleo ya kimaisha kwa kiasi cha jitihada halali ulizofanya mkuu. Si mafanikio yatokanayo na uhalifu.

Alipaswa kutumia uwezo wake, sio kuiba wimbo wa Dayna ambaye anahangaika kutoka. Mungu anajibu
 
Sasa unataka diamond atafute pesa alafu aje akugawie wewe unayeshinda kijiweni ukipiga story tu.
 
Sa angejipigia yeye kura sio kutuOMBA tumpigie, afu tukitaka kuiona hiyo tuzo, atutoze tena kiingilio.
 
Na hilu ndio tatizo kubwa linalofanya inchi yetu isiendelee.wivu na husda.yani wabongo hatupendi kabisa maendeleo ta wenzetu sijui kwanini,yani mtu anataka akuone ukiwa unafeli tu ktk maisha
 
kweli hata mimi nimefurahy nyie wafuas wake wanafki tu hata kura hamkumpa ila unaambiwa davido kapigiwa kura hadi na watu wa sauz huko huyo dogo nassibu bdo sana kazi kuvua chupi za wanawake tu na kuhonga ili ngma zake zpgwe radio station,huyo nassibu hafai spend kumuita diamond for he is not.
 
Afu kuna mtu apa anadai yuko juu kihalali.
 
Kuna mtu aliweka ka link kakumpigia kura humu huyo kichwa nazi mbata.. Wakawa wanasifiana ujinga eti dai domo anaongoza. Anaongozaaa!? Mi nilisema yaliyo moyoni kuwa hashindi wala nini Qudadeki. Haya kama mmekasirika andamaneni basi.

Mkuu, watu hawaelewi kua wenzetu hawaangarii uwingi wa kura bali wanaangalia umeongoza ktk nchi ngapi, inaonekana dai kura nyingi zilikua niza hapahapa bongo tu.
 
Na hilu ndio tatizo kubwa linalofanya inchi yetu isiendelee.wivu na husda.yani wabongo hatupendi kabisa maendeleo ta wenzetu sijui kwanini,yani mtu anataka akuone ukiwa unafeli tu ktk maisha

Maendeleo gani sasa!!
Unahabari kuna ambao hawawezi kula milo mitatu, lakini akiwa na buku 2 hawezi kwenda kumuona Diamond uwanja wa taifa na pengine alipiga kura?!
 
Ndo ivo nimefurahia ya Davido, muafrika.
Hata rais huwa anasema "Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika" na sio ulaya.

yote kheri ilimradi maisha yanaendelea na angepata hiyo tuzo dah! tusingekula ugali mtaani!
 
Back
Top Bottom