KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake.
Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa.
2. Diamond angeshinda, angekua expensive zaid na nyodo za kutufungia vioo.
Genge lake lingezunguka nae nchi nzima kupiga hela. Hiyo tuzo na yeye mwenyewe asingeenda uwanja wa taifa au nchi nzima na mashabiki tukaione bure baada ya kumpa ushindi.
Sosi:- Kill music awards.
3. Diamond angeishia kitupnyesha majumba na magari ya kifahari kwenye instagram, badala ya mfano ka-ambulence bajaj ambako hata sisi walala hoi tungekatumia.
4. Angezidi kuwa muhuni na dharau kwa wanawake.
5.
6.
nk