casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,402
- 2,254
Inabidi tuwaulize wazazi wetu,walituleta duniani kwa malengo gani?
Elimu Elimu Elimu,Walijisemea zamani watu wa nywele nyeupe.Ni mungu gani huyo anaehitaji kutumikiwa?.
Mungu" perfection" iweje aitaji kutumikiwa?.
Hujui kuhitaji kutumikiwa ni mapungufu?.
Ni kwanini huyo mungu wenu ni mhitaji kama mlemavu?.
Au hana uweza wa yote?.
Endeleeni kudanganyana.....
Kutokubishana au kutokupenda mabishano,uliye mbali na magomvi/Maneno yenye kuvuruga mpangilio wa akili/kiroho.Hahha kwa nn unasema na roho ya ukarimu ?!
Ofcourse kubshana siwez kabsa
Hapa kuna mtu kanipigia kaanza tu kuleta mabshano nkakata simu yaan siwez kabsa
Kabla ya kuwauliza wazazi,tujiulize sisi tunawaleta watoto duniani kufanya nini?Inabidi tuwaulize wazazi wetu,walituleta duniani kwa malengo gani?
Ukiachana na survival instinct,wengi tumezaliwa tu bila malengo/bahati mbaya yani walifanya yao kitu kikajibu.Kabla ya kuwauliza wazazi,tujiulize sisi tunawaleta watoto duniani kufanya nini?
Pengine udhaifu wa wazazi wetu kutuleta sisi duniani ukamilifu wake unatimia kwa sisi kuwapatia wajukuu.
Yawezekana ikawa ni kweli,maana jogoo anampopanda tetea uona fahari ya ujogoo wake ila ushangaa kumuona tetea akiwa na vifaranga na hivyo kujiona ni mfalme mwenye sauti katika himaya yake.Ukiachana na survival instinct,wengi tumezaliwa tu bila malengo/bahati mbaya yani walifanya yao kitu kikajibu.
You are absolutely wrong my friend.Elimu Elimu Elimu,Walijisemea zamani watu wa nywele nyeupe.
Mungu anajulikana kupitia Elimu.Kuna Mungu na mungu.
Yupi alokusudiwa? Kabla ya kuingia kwenye matumizi ufafanuzi ni muhumu wa neno Mungu/mungu.
Na ukizaliwa wanaokulea 100% wanakutengenezea maisha wanavyotaka wao wewe huna uhuru binafsi.Yawezekana ikawa ni kweli,maana jogoo anampopanda tetea uona fahari ya ujogoo wake ila ushangaa kumuona tetea akiwa na vifaranga na hivyo kujiona ni mfalme mwenye sauti katika himaya yake.
Mimi kufa hakuthibitishi uwepo wa mungu bali kuna thibitisha kuwa mungu hayupo.Kwa hio wewe binadamu utakaekufa na kuoza ni mjuzi wa mambo kuliko muumba wako?alikuepo kabla yako na atakuepo baada yako,watu maarufu duniani
walikuja,wamepita,yeye yupo.
Hatudanganyani hapa ndio reality, ulianzia kwake utaishi miaka yako hapa duniani ikiisha utarudi kwake,hakuna ujanja katika hilo.
Ishi vizuri hapa duniani,fanya kazi yake ya kuuambia ulimwengu upendo wa Mungu,utapata ujira wako utakapoenda kukutana nae baada ya miaka yako ya kuishi hapa duniani.
Uhuru wako unategemea umri na tabaka/kundi gani la wanyama ulilopo.Na ukizaliwa wanaokulea 100% wanakutengenezea maisha wanavyotaka wao wewe huna uhuru binafsi.
umesema mkuuInabidi tuwaulize wazazi wetu,walituleta duniani kwa malengo gani?
kwel kabisa mkuu wengine wapo humu kwabahati mbaya tuuUkiachana na survival instinct,wengi tumezaliwa tu bila malengo/bahati mbaya yani walifanya yao kitu kikajibu.
Kusudi la kuwepo duniani ni kuzaa na kuongezeka!
Hili swali ni kubwa kuliko ufahamu wetu binadamu....na majibu yake yapo katika neno la Mungu pekee.
Mungu ndie atakae kulipa hio faida kwa kufanya kazi yake,ulianzia kwake ukaja duniani utaishi hapa miaka kadhaa,at the end of the day utarudi kwake tena,hakuna ujanja hapa wa kumkwepa,yeye ndie atakae kupokea na kuamua utakaa nae mbinguni au kuzimu.......
Alishasema nendeni ulimwenguni mwote mkahubiri injili,kwa hio ndio lengo lake kuu alilompa binadamu aishi hapa duniani
Hili swali binadamu amekuwa akijiuliza miaka na miaka hadi leo....nini kusudio la maisha?
Je tulifikaje hapa duniani? Tukitokea wapi? Na kwa kusudi gani?
Je ni ili tuishi, tufe then ndiyo iishie hapo?
Je ni kupata mali nyingi, ambazo tunapofariki hatuchukui hata moja?
Kusudio la maisha ni nini hasa?
Binafsi naona kuwa kamwe huwezi kupata majibu ya msingi kuhusu maswali ya aina hii bila kumhusisha Mungu.
Pamoja na mambo mengine, tupo hapa kwa sababu Mungu alituweka hapa ili tuwe na uhusiano naye while living.