muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini
1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?
Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?
Kwenu wajuzi .