The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,113
- 121,557
😆😛swali gumu mkuu, kwan wewe ninifaida yako mkuu
😆😛swali gumu mkuu, kwan wewe ninifaida yako mkuu
Ili tumuabudu na kumtukuza Mungu Mwenyezi
faida mkuuni kuijenga dunia kwaio inatakiwa kuacha structure yoyote hapa dunian
WE LIVE IN ORDER TO EAT.Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini
1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ? Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?
Kwenu wajuzi .
faida mkuu
ndio nnMHhh! mbombo ngafu
Kwa wasio na dini maana yake hao hawamtambui Mungu kabisa,kwa hio kwao lengo la kuishi duniani ni kula,kunywa,kustarehe,kuzaa na kufa mzunguko unajirudia.hao hawatambui kua binadamu ni kiumbe cha umilele yaani baada ya kufa mwili,roho hua haifi ni ya umilele.kwa wasio nadini mkuu ?
Umemaliza kazi mzee!Hili swali ni kubwa kuliko ufahamu wetu binadamu....na majibu yake yapo katika neno la Mungu pekee.
Hili swali ni kubwa kuliko ufahamu wetu binadamu....na majibu yake yapo katika neno la Mungu pekee.
Kwa wasio na dini maana yake hao hawamtambui Mungu kabisa,kwa hio kwao lengo la kuishi duniani ni kula,kunywa,kustarehe,kuzaa na kufa mzunguko unajirudia.hao hawatambui kua binadamu ni kiumbe cha umilele yaani baada ya kufa mwili,roho hua haifi ni ya umilele.
(Labda wamtumikie Mungu wa kipagani)
Haya mambo hayaMe aliniumba nimuabudu
Labda uweke vizuri maada unamaanisha nini neno Faida pia ukiweka na tumifano itapendeza zaidi utakapo fafanua neno faida ya kuishiumenena mkuu, maana sioni faida hapa
Ktk kitabu hiki Sulemani alipokuwa akitafuta furaha za kuifurahisha nafsi yake ktk maisha haya.. Aliona yote ni ubatili.
Roho ndio kila kitu kwa binadamu,roho imeuvaa mwili,mwili ukifa unazikwa ni mzoga tayari,roho inaondokakwani hiyo roh ina ufahamu kama unsvyojielewa hapo ulipo mkuu ?
aaaanh kumbeRoho ndio kila kitu kwa binadamu,roho imeuvaa mwili,mwili ukifa unazikwa ni mzoga tayari,roho inaondoka
Ni vema kutumia nukuu za vitabu vitakatifu kama rejeo,lakini ni wajibu wetu kutumia uwezo tulionao kujitambua sisi ni nani tuko kwa ajili ya nini ,nini umuhimu wetu kwa viumbe wengine wenye na wasio na damu kama sisi.
uwezo binafsi unamaanisha nini mkuu, tahajudi au ?Ni vema kutumia nukuu za vitabu vitakatifu kama rejeo,lakini ni wajibu wako kutumia uwezo ulionao kujitambua wewe ni nani uko kwa ajili ya nini ,nini umuhimu wako kwa viumbe wengine wenye na wasio na damu.
Kumekuwa na mazoea ya binadamu kushindwa kutumia uwezo wao binafsi kujitambua,hivyo kupelekea wengine wetu kuangukia kwenye falsafa zinazotufanya kuwa na kikomo cha tafakari kwa kina.