Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

uwezo binafsi unamaanisha nini mkuu, tahajudi au ?
Binadamu uwezo mkubwa sana kuliko hata majini,uwezo huo unaweza mfanya kuishi milele.
Kitakachoishi ni roho katika miili mingine,miili yetu ya Leo ni vazi LA roho.
Kifo kwa binadamu ni ukamilifu katika uumbaji wa mwili.
 
nipe ujuzi mkuu
 
Huyo kilaza anatukana tukana tu Watu nimekuwa namlia timing siku nyingi sana nikimstahi siku nyingi tu tatizo anataka kuona hii JF ni ya Baba yake hala!
Nijibu maswal yangu

Nimesoma avatar yako ....

Yaan ni two things unrelated ...

Sory usihangaike kunitukana mkuu ...

Sinaga hasira kabisa.......

Yaan huwa najitutumua sana kuzipata ....

Na ni mara chache huja ....

Zikisha naishia tu kusema aisee ...
 
Mkuu Siku zote roho inayoishi milele ufanya matendo ya mwili kuwa kamilifu na kamwe mwili hauindeshi roho ya kweli.
Hongera kwa roho nzuri ya ukarimu na upendo wa dhati.
 
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini

1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?

Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?

Kwenu wajuzi .
Haya maswali mengine ebu muwe mnauliza siku ambazo hatujafunga maana mnaweza tengua funga zetu humu.
 
Mungu haruhusu lkn nimemjibu kulingana na ujinga wake 7bu ni yeye ndiye aliyeanza kunitukana na alishanizoea sana tu nikawa namstahi.

MATHAYO 7:12 " Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii."

METHALI 26:5 "Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake."

NB; Sihalalishi kulipiza kisasi maana imeandikwa mlipizaji kisasi ni Mungu pekee.
Unaamini Mungu yupo

Kama unaamini ana ruhusu hayo matusi unayosema !!

Atheist akija hapa utakua na hoja ya kujitetea
 
we acha tuu mkuu tunateseka sana mwisho wa siku hakuna faida
Unateseka na nini mkuu,kwani si uko huru?
Jitahadi kuwa na Elimu kisha litafute lengo utalipata,bila Elimu sahihi na kuisimamia utatumia uzoeefu ambao umeathiriwa na mazingira au athari za maono.
 
Ili umtumikie Mungu,mengine yote ni ubatili tu.
Ni mungu gani huyo anaehitaji kutumikiwa?.

Mungu" perfection" iweje aitaji kutumikiwa?.

Hujui kuhitaji kutumikiwa ni mapungufu?.

Ni kwanini huyo mungu wenu ni mhitaji kama mlemavu?.

Au hana uweza wa yote?.

Endeleeni kudanganyana.....
 
asante mkuu
Unateseka na nini mkuu,kwani si uko huru?
Jitahadi kuwa na Elimu kisha litafute lengo utalipata,bila Elimu sahihi na kuisimamia utatumia uzoeefu ambao umeathiriwa na mazingira au athari za maono.
 
Ni mungu gani huyo anaehitaji kutumikiwa?.

Mungu" perfection" iweje aitaji kutumikiwa?.

Hujui kuhitaji kutumikiwa ni mapungufu?.

Ni kwanini huyo mungu wenu ni mhitaji kama mlemavu?.

Au hana uweza wa yote?.

Endeleeni kudanganyana.....
mkuu lete ujuzi
 
Kwa hio wewe binadamu utakaekufa na kuoza ni mjuzi wa mambo kuliko muumba wako?alikuepo kabla yako na atakuepo baada yako,watu maarufu duniani
walikuja,wamepita,yeye yupo.
Hatudanganyani hapa ndio reality, ulianzia kwake utaishi miaka yako hapa duniani ikiisha utarudi kwake,hakuna ujanja katika hilo.
Ishi vizuri hapa duniani,fanya kazi yake ya kuuambia ulimwengu upendo wa Mungu,utapata ujira wako utakapoenda kukutana nae baada ya miaka yako ya kuishi hapa duniani.
 
Mkuu Siku zote roho inayoishi milele ufanya matendo ya mwili kuwa kamilifu na kamwe mwili hauindeshi roho ya kweli.
Hongera kwa roho nzuri ya ukarimu na upendo wa dhati.
Hahha kwa nn unasema na roho ya ukarimu ?!

Ofcourse kubshana siwez kabsa

Hapa kuna mtu kanipigia kaanza tu kuleta mabshano nkakata simu yaan siwez kabsa
 
Back
Top Bottom