Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Tumekuja kutalii then tunasepa kusikojulikana kwenda kutalii tena.
 
sasa nini faida yake mwisho wasiku
Mkuu hakuna sababu general..
Ukizaliwa unatafuta yako. Wengine wanaona wamezaliwa ili wawe maarufu , wwngine ili wawasaidie wasiojiweza , wengine wanaona wamezaliwa ili kuenjoy haya maisha..

Kwahio ni juu yako kutafuta purpose ya maisha
 
Aliyekuumba atakuwa anafahamu sababu ya wewe kuwa Duniani, kila kilichoumbwa na kutengenezwa kina kuwa na makusudi yake, hata meza na viti uwa na makusudi yake, tunapanda miti kwa makusudi yake. Kifupi hupo hapa Duniani kwa makusudi ya Mola.
 
we umeumbwa au umezaliwa mkuu ?
Aliyekuumba atakuwa anafahamu sababu ya wewe kuwa Duniani, kila kilichoumbwa na kutengenezwa kina kuwa na makusudi yake, hata meza na viti uwa na makusudi yake, tunapanda miti kwa makusudi yake. Kifupi hupo hapa Duniani kwa makusudi ya Mola.
 
nafkikia sana ile day ntakayokuwa sipo yaan vyote nlivofanya nibure tuu, nakuishi kote huko sijajua nlikuja kufanya nini kwasabu tumekalilishwa tuu kutafuta maisha yahapa
Kikubwa ni furaha...kuishi maisha haya ukiwa unafanya kitu unachoamini ndio lengo lako la kuwa hapa duniani inatia furaha na unakufa without regrets..
 
Hili swali binadamu amekuwa akijiuliza miaka na miaka hadi leo....nini kusudio la maisha?
Je tulifikaje hapa duniani? Tukitokea wapi? Na kwa kusudi gani?
Je ni ili tuishi, tufe then ndiyo iishie hapo?
Je ni kupata mali nyingi, ambazo tunapofariki hatuchukui hata moja?

Kusudio la maisha ni nini hasa?

Binafsi naona kuwa kamwe huwezi kupata majibu ya msingi kuhusu maswali ya aina hii bila kumhusisha Mungu.

Pamoja na mambo mengine, tupo hapa kwa sababu Mungu alituweka hapa ili tuwe na uhusiano naye while living.
 
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini

1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?

Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?

Kwenu wajuzi .
Pamoja na Mada nzuri, nianze na swali la msingi, wewe ni Me au Ke, kwani hii avatar inaweza lete maneno.
 
Ina maana wewe hujaona umuhimu wowote wa kuwa hapa duniani? Tafuta vitu vinanyokupa furaha, amani na faraja utaona umuhimu wa kuwa hapa duniani.
 
nafkikia sana ile day ntakayokuwa sipo yaan vyote nlivofanya nibure tuu, nakuishi kote huko sijajua nlikuja kufanya nini kwasabu tumekalilishwa tuu kutafuta maisha yahapa
Kwani mkuu ulidhani umekuja duniani kutafuta nini?
Wewe fanya kitu kinachokupa furaha mwisho wa siku hata ukifa utakufa kiroho safi kabisa
 
Back
Top Bottom