Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,116
- 64,148
Jana nimeingia 'club' moja machachari, nikakutana na mzigo mmoja hatari, umekaa kaunta umejibinua, mbaya zaidi kitopu kikawa kimejivuta juu na kuona umbo la 'apple' linalovutia.
Kapewa sura nzuri, umbo zuri, nywele nzuri; kwa kweli niliishiwa nguvu.
Ikabidi nimuite baunsa mmoja anipe cv ya huyo mrembo, kwa sababu mimi huwa nikiona vitu vizuri huwa siparamii moja kwa moja, ili kuepusha shari, magomvi, pamoja na kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
Jamaa akaniambia, hana shida na si mwingi wa habari sana, kama bajeti yako inaruhusu tufanye mchakato wa kumuweka sawa.
Nikamjibu sawa, ngoja niweke mipango sawa.
Hapa ndio napambana kuweka sawa bajeti, ili nikutane na huyo mrembo machachari; kutokana na uzuri wake najaribu kutafuta mazingira ya kuweka zaigoti kabisa.
Kweli, maisha matamu yapo hapa duniani, stress uzitafute mwenyewe tu.
Ikiwezekana wakuu, mnichangie bajeti nikale mema ya dunia, sitawaangusha.